Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zaidi ya asilimia 60 ya wanawake hawatumii uzazi wa mpango licha ya jitihada zinazofanywa na serikali pamoja na mashirika mbalimbali kutoa elimu juu ya umuhimu wa matumizi ya uzazi wa mpango...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Jf Kila siku unapoendelea na maisha hapa nchini kwetu au kwingine kuna haja ya kujiongeza haijalishi umesoma au hujasoma, kila mtu akae ajipange kuwa miaka kadha inayokuja itakuwaje, hakuna...
1 Reactions
3 Replies
951 Views
Ndugu serikali mmetupola uwanja wetu tuliopewa na yusuph manji kwaajili ya ujenzi Wa uwanja Wa mpira...so huo uwanja ni Wa public mmetunyang"anya kwa sababu zenu za kisiasa kwamba manji...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau tokea Majuzi nimejaribu kupiga namba 100 ya kwa line ya Airtel ila sijapata fanikio la kuongea na customer care yaani nilisikiliza maelezo Marefu na ya kuchosha masikioni yote nikachoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya week end wakuu. Kwanza naomba kukiri kua kusomea uinjia wowote ninkazi ngumu sana. Ila mimi binafsi hua siwaelewi mainjinia wa kitanzania hasa civil engineers, hawa wanaohusika na...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mahakama ya juu nchini india itapitia upya sheria inayohusu talaka ya dini ya kiislamu ambayo kwasasa Mwanamme anatakiwa kutamka mara tatu neno talaka na kumwacha mkewe papo hapo(Triple Talaq)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo sasa kutokana na mabadiliko ya hali ya uchumi wa ndani, raia wengi wapo katika hali ya mfadhaiko, kukosa raha na mbaya zaidi upweke. Sisi kama jamii ya watanzania ni familia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kweli ni simanzi! Hili jambo lisikie kwa wengine usiombe likakukuta. Katika hali ya sintofaham jana napigiwa simu nyumba yangu imepigwa X kwamba iko jirani na reli. Nilikosa umakini kabisa...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna dada yupo hapa ofisini anapenda sana kujipendekeza kwa mabosi, akienda kwa mabosi daima ni kuongea ya watu. Kumbe ni mchawi, Mshirikina, Mwanga, Mlozi. Muite majina yote, kila mtu...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Kabila la Wameru waliopo Arusha Kusini Wanakusudia Kuvunja Chungu kwa Imani yao Ndio litawafichua hao wanaojiita hawajulikani na watekaji maana wamesema hakuna Namna nyingine
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Habari za usiku, ni mejiegesha hapa Lakini nasikia sauti za waumini wakiomba juu ya suala la lissu na watu wengine... Hii tabia sijawahi iona wala kusikia wakimuombea anaejiita Mtukufu, mzalendo...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Binadamu anakawaida ya kusahau yaliyopita, niwajibu wetu kumkumbusha; tena binadamu anakawaida ya kushangiilia na kushabikia anayoyaona, ni wajibu wetu kumtahadharisha; Aidha, binadamu anakawaida...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na mwenendo wa kuwatukana watumishi wa umma na kuonesha kuwa hawafanyi kazi ya maana. Mwenendo huu huongozwa na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi tu. Tumeshasikia mara kadhaa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wiki kadhaa, trafiki walitumia ubabe wa hali ya juu sana kuwaonea madereva eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Waliamka asubuhi, wakaanza kuyakamata magari, kupiga faini na...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF nina muomba Mwenyezi Mungu anipe uhai na afya njema ili niweze kumuona na kushuhudia uongozi/utawala wa Rais wa JMT atakaye kuja baada ya Dr John Joseph Pombe Magufuli kumaliza muda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima mbele wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia kesi nyingi zinazofunguliwa na serekali dhidi ya makampuni au watu binafsi lakini mwisho wa siku nashindwa kuelewa madhumuni ya serekali kufungua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Vipi hayo magari yaliyokwama kwa kushindwa kugombolewa yanauzwa tena?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ni jambo la kushangaza sana kuwa baadhi ya watanzania wajinga,tena wachache wakiamini wapo wengi na wana kundi kubwa,wangependa kusikia mambo yasiyokuwa mazuri tu kwa Taifa letu!!! Kweli ni...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…