Alivyosikia Tundu Lisu amepata nafuu na kupiga picha basi CEO wa Barrick akaamua kukodi ndege kwa kutumia fedha za Kampuni ktk Kanada mpaka Dar ili kuja kuzuia Tundu Lisu asijadiliwe,
Irony off...
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi...
Hilo agizo limepindishwa namsikiliza lukuvi muda huu kupitia magic fm kasema nyumba zinazobolewa ni zile zinazojengwa sasa ktk maeneo yasiyoruhusiwa na ambao wanakesi za uporaji wa viwanja...
Takwimu walizotoa Tanzania daima asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARV hazikuwa sahihi na kwa ustaarabu inabidi waombe samahani.
Ingawa takwimu hizo hazikuwa sawa, lakini hotuba ya leo toka...
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Geita Daniel Limbe
Waandishi wa habari wanne mkoani Geita wameshambuliwa kwa bakora na kuwekwa sero na askari wa jeshi la polisi mkoani humo...
Kamanda wa jeshi hilo, Regina Kiobwe, alitoa onyo hilo wakati alipokuwa akizungumza na wakazi wa mkoa huo wakati wa uzinduzi wa namba ya dharura ya 114.
Kiombwe alisema kuwa moja kati ya...
Baada ya kukosekana kwa wanunuzi katika mnada wa awali nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, zinatarajiwa kuuzwa upya Novemba 9, mwaka huu.
Mnada wa awali wa nyumba hizo ulifanyika Septemba 9...
WanaJf habari zenu!! Siku za hivi karibuni tumepata taarifa kupitia vyombo mbalimbali kuhusu tamko la waziri wa ardhi na makazi Mh. Lukuvi kuhusu kubomoa nyumba zote ambazo hazikufuata sheria na...
Hali jinsi ilivyo, na vyuma kwa namna ambavyo vimekaza kwa sasa kumeibuka mbinu na namna mbalimbali ya kujipatia kipato ama kwa uhalali au haramu.
Hivi sasa kwenye mzunguko wa fedha kuna fedha...
Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mji mkoani Ruvuma, wamemkataa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri Bw. Robert Mageni na kumuomba rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe...
Hii nikupelekea upotoshaji wake wa mara kwa mara!
Jana pekee limeupotosha umma kuhusu takwimu sahihi za raia wanaotumia ARVs.
Lazima upotoshaji wa kiwango hicho upingwe kwa adhabu kali!
Nimekuwa nikifuatilia historia ya nchi kama taiwani,japan,china jinsi uchumi zao Zilivyokua na kushuka na hatimae kurudi juu tena
Mfano china ya karne ya 18 mwaka 1820 lilikuwa taifa...
Hii michezo inawaumiza wananchi , tena sanasana walio kuwa masikini , badala ya kutumia kidogo walichonacho kwa shughuli za maendelea au kuweka akiba , wanatumia katika hii michezo ambayo ina...
Sometimes nakaa na kuwaza na kukosa jibu juu ya umbo halisi la dunia. Wanasayansi wanadai dunia ni duara na inaelea hewani, je upande wa chini ya dunia kuna anga kama ili tunaloliona juu au kuko...
Huko nyuma baada ya kumsoma Mheshimiwa Rais JPM hasa alivyokuwa akitoa Hotuba zake bila kusoma mahala popote hata pale ambapo alikuwa akiandaliwa na kusema niligundua kuwa kuna makosa mengine...