Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naanza kuona unapokuwa na uwezo usiwabweteshe sana watoto wakijua na kukariri maisha wanayoishi ni ya kawaida kwa kila mtu, sometimes ni bora kuwaonjesha kidogo maisha ya chini kwa uangalizi, yani...
9 Reactions
55 Replies
790 Views
Salaam, Yaani watu Mikoani wanajua maisha ya Dar ni sawa na walikotoka. Ndugu anakupigia simu Jumatano saa tano asubuhi. Anakuambia ukamuone kafikia Tegeta, hapo wewe unaishi Gongo la mboto...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown” Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na...
19 Reactions
98 Replies
2K Views
Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
2 Reactions
2 Replies
192 Views
Nidhamu ndio mafanikio. Hapa JF tuna watu wakubwa sana, viongozi, expert serikalini na wafanya biashara. Sasa unapoana Mtu ana express hisia zake kuhusu jambo fulani acha dhahaka na matusi...
6 Reactions
13 Replies
156 Views
Anonymous (d932)
Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto...
2 Reactions
6 Replies
296 Views
Anonymous (c258)
Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
BIASHARA ZANGU UTOTONI HADI UZEENI 1. Miaka 7 (1993): Kuuza makopo ya soda kwa wanunua screpa 2. Miaka 8 (1994): Kuuza mihogo na visheti vya walimu shule 3. Miaka 9 (1995): Kuuza maandazi ya...
7 Reactions
27 Replies
409 Views
Hakuna haja ya kuwachukulia sheria mkononi au hakuna haja ya kuwapeleka mbele ya sheria Hawa wanafaa kusimangwa Hawa wanafaa kusemwa Hawa wanafaa kusutwa Kule kwetu ukiikosea hatukupeleki kwa...
16 Reactions
49 Replies
783 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Shirika la Zanzibar Fighting Against Youth Challenge Organization (ZAFAYCO), leo April 20, 2026 wanazindua rasmi ripoti ya Haki za...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia...
-1 Reactions
6 Replies
181 Views
Anonymous (0c95)
Naomba mtusaidie kupazia sauti baraza la Madaktari Tanzania (MCT). Wenye mawasiliano hayo hapo juu ni namba za huduma kwa wateja hawapokei simu. Ni kero sana hadi ugharamike kutoka mikoa ya mbali...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Habari Wanajukwaa, Naleta hili kama mdau na msafiri wa mara kwa mara. Tumekuwa tukishuhudia tabia isiyofaa kutoka kwa baadhi ya mabasi ya abiria yanayofanya safari za usiku kutoka Mkoani Mwanza...
5 Reactions
6 Replies
393 Views
Kwako Gerson Msigwa na Serikali kwa ujumla UTANGULIZI Foleni jijini Dar es Salaam imekuwa kikwazo kikubwa cha uchumi, muda wa uzalishaji, afya ya wananchi na taswira ya taifa. Kitovu cha...
3 Reactions
5 Replies
446 Views
Ni muda mrefu nchi nyingi duniani zimewekeza nguvu kwa wanawake. Lakini kuna baadhi ya nchi kama Japan hili jambo wanalichukulia sio kwa mzaa kama nchi zetu za Kiafrica hususan Tanzania. Kwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wagogo pamoja na kwamba ni watani zetu ila huu sio utani acheni ufala bana Tz kubwa hii. Mmerundikana kama uyoga fala sana. Halafu mizaramo ndo haishauriki kabisa imetembea sana mwisho morogoro...
17 Reactions
50 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…