Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jimbo la Siha na Kinondoni kabla ya chaguzi za 2015 yalikua CCM. Wananchi walilijua hilo lakini wakachagua upinzani kujiuzulu na kugombea tena wanamaanisha waliowachagua ni mtaahira naomba...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Afisa tarafa wa Themi Arusha Felician Mtahengerwa amepiga marufuku wakina Mama kubeba Watoto mgongoni na kwenda nao sokoni. _ Amewataka kina Mama wote wenye Watoto waajiri Wasichana wa kubaki...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Hbr Wakuu, Najua hapa halikosekani neno, shida yangu wakuu nataka kumjua mmiliki wa Hii hotel iko sinza ya mkomilo royal hotel mana nmesikia ni ya kibopa fulani. Harakati za Kingo!
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Tundu Lisu na Lowasa, hawa ukiwasikiliza mashabiki zao wanavyowapamba utafikiri ni kweli wana huo ushawishi kumbe fiksi tupu, tulikuwa tunaambiwa eti Lowasa ana uwezo wa kukinukisha na kwamba...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Zaidi ya wagonjwa 5,529 wa saratani za aina mbalimbali wamerekodiwa mwaka 2016 katika hospitali ya Ocean Road (ORCI) ambayo ni taasisi kubwa ya saratani nchini. Miongoni mwa wagonjwa hao, yumo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kama TZ ingekua na space agency we unadhani ingeitwaje. I vote for Tanzania aerospace research agency-(TARA)
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Habari zenu wanaJF. Leo nawatajia list ya watu walioniudhi mwaka 2017; 1. Ndalichako 2. Posta ya Temeke 3. Mods wa JF 4. Konda wa daladala 5. Benki ya NMB tawi la Tandika
1 Reactions
7 Replies
1K Views
RIPOTI ya Shirika la Afya Duniani (WHO), imeitaja Tanzania kushikilia nafasi ya 27 barani Afrika kwa vifo vinavyotokana na watu kujiua. Kwa mujibu wa ripoti hiyo yenye kurasa 34, Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
SERIKALI imesema kuwa, Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) itafanya mnada wa hadhara wa meno ya viboko vipande 12,467 vyenye uzito wa kilo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Njoo tujadili ...kozi ipi ni best kwa sasa kati ya kozi hizi Short Courses The Institute offers Short Courses. These Courses are offered for a duration of 1 to 3 Months. The following are Short...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana JF, Tarehe 20/10/17 niliandika mada hii: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata Sasa leo hii hapa ninaleta mrejesho wa mada hiyo, kama ifuatavyo Samahanin sana sikuweza kujibu kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Wadau vipi kuhusu hii fani ya ufundi wa water pump je kwa mazingira ya sasa inahitajiwa? Vijana wote mliomaliza vyuo na hamjapata ajira nawakumbusha kuwa kuna university inaitwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Poleni kwa kazi!! Mimi naomba mnifahamishe Kuhusu kozi ya AUTOCAD. Je ukisoma AUTOCAD utafanya kazi gani? Je kozi hii inakupa fursa za kujiajiri? Au kuajiriwa? Je ushindane upoje kwa sasa kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu. msione waokota makopo mkadharau mwaka huu wamewashinda kipato wakulima wa mbaazi maana mbaazi kilo moja tsh.300 huku makopo ya maji yaliyotumika ni tsh.1500. kwa hiyo msiwadharau kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la polisi Mkoani Morogoro linamsaka mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mwita Marwa (30) kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mpenzi wake Kibua Adam (39) baada...
10 Reactions
125 Replies
18K Views
Kulizuka hofu Jana mkoani manyara Mara baada ya tukio la kutekwa kwa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu mkoani hapo,ambapo polisi walikuja kutoa taarifa kuwa tukio hilo,lilikua ni sehemu ya mazoezi...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Jana nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Kahama kwa kutumia basi Mali ya (.......)....e bhana alipanda bwana mmoja ni kipisi cha mtu jitu kweli miraba nadhani kama nane hivi. Ana bonge la...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Watu watano wamenusurika kifo baada ya nyumba wanayoishi kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Januari 25,2018 eneo la Mitondooni wilayani Magharibi B, Unguja...
1 Reactions
1 Replies
567 Views
MWANAFUNZI wa kike mwenye umri wa miaka 14 ameuawa kikatili baada ya kubakwa kwa zamu na mwendesha pikipiki maarufu ‘bodaboda’ kisha akachomwa kisu ubavuni na sehemu zake za siri kunyofolewa...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Shule hii ya Ihungo iliathiriwa na tetemeko mwaka 2016 na serikali kupitia TBA waliamua kuijenga upya na ilipaswa kukamilisha Mei 2017 ili July ipokee wanafunzi wa kidato Cha tano, shule...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…