Utangulizi
Nina rafiki yangu yeye ni Mkatoliki mara kwa mara hunipigia simu kuniuliza masuala ya Kiislam. Siku zilipopatikana taarifa kuwa masheikh wetu akina Mselem bin Ali wameletwa Dar es...
Kwenye gazeti la jana kuna habari kuwa barabara ya Arusha hadi Tengeru (dual carriageway) taa zilizowekwa haziwaki. Sababu ni kuwa nyaya na taa zimeng'olewa kabla hata barabara hiyo nzuri...
Muhudumu wa bar anahitajika haraka sana.bar ipo Dar,wilaya ya temeke,maeneo ya yombo vituka.
Mshahara laki moja kwa mwezi,malazi bure,msosi bure.kwa mwenye huhitaji ani pm
Wakuu heri ziwe kwenu
Niseme tu mimi ni mkristo mkamilifu na asie na shaka nao.
Lakini huwa napenda kusikiliza kwa wengine wanayoyafundusha. Bahati nikamsikia shehe akiifafanua quruan kwa...
JE NABII TITO HANA KOSA?
Zawadi B. Lupelo
Nimeona maoni mbalimbali ya wanajamii forum wenzangu wakijaribu kuelezea mkasa wa Nabii Tito. Nimeguswa zaidi na maoni ya ndugu Bashir Yakub ambaye...
Habarini.
Leo nimeona nishare nanyi jambo muhimu sana kuhusu afya ya kinywa.
Naamini sisi sote huwa tunapiga mswaki kama tunavyo elekezwa na madaktari wa kutibu magonjwa ya kinywa.
Na katika...
Habari wakuu,
Kati ya vitu ambavyo nimekuwa nikipenda kujua ni hii kitu inaitwa faith healing au uponyaji kwa njia ya maombi kama haya maombi yanayofanywa na akina mzee wa upako, je ni kitu...
Wanafunzi 85 kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa wamepata udhamini wa masomo ya shahada ya kwanza kwenye fani za udaktari,uhandisi,uchumi,sheria za mitandao na teknolojia ya viwanda katika nchi za...
Mkazi wa kijiji cha Nong’ona mkoani Dodoma Bwana Tito Machibya maarufu kwa jina la nabii Tito amefikishwa mbele ya hakimu wa wilaya ya Dodoma akikababiliwa na shtaka la kutaka kujiua.
Ilidaiwa...
Habari!
Tangu siku ya jana kumekuwa na taarifa kutoka katika mitandao mbali mbali ya simu, ikiwapa taarifa wateja wao kuwa kuanzia mwezi wa 2 kutakuwa na usajili wa line zao kwa kutumia mfumo wa...
Serikali wilayani Nkasi mkoa wa Rukwa imewaonya wanaume na kuwataka waache mara moja tabia ya kuwaita wanafunzi wa kike majina ya kimapenzi kwa kuwa yanasababisha wajione watu wazima hivyo...
Amani kwenu washika dau wa JF .
Nisonge mbele na kilicho nifanya nishike simu mda huu na kuanza kuigusagusa na kupangusa kwenye kioo.
Ni hivi.
Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti katika taasisi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka halmashauri zote nchini kuboresha huduma za dharura za uzazi katika vituo vya afya ili kupunguza vifo vya...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa awamewasili mjini Addis Ababa, Ethiopia kumwakilisha Rais Dkt John Magufuli katika mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika (AU)...
JF members,-
(Plz; Ifuate tafsiri ya kiswahili, ipo baada ya hii ya maelezo haya ya Kiingereza)
Is it possible that Genetical Engineering and Manipulations actually touched ground in thousands...
Salam wanaJF.
Kwa wenyeji na ambao walishapitapita na kuishi Mji wa kitalii wa Moshi Mkoani Kilimanjaro watakubaliana na mm kuhusu kupanda kwa joto la hatari kadri miaka inavyozidi kwenda.Na huku...
Mwanzoni mwa Januari mwaka huu 2018 ndugu yangu alisafiri kwenda Mbeya kwa kutumia ndege yetu ya kampuni ya taifa yaaani ATC aina ya bombadia. Labda kutokana na ushindani na ugumu wa maisha abiria...
Kampuni ya Ontour Tanzania Limited imenunua kwa Sh30.9 milioni meno ya viboko tani 3.5 yaliyokuwa yakipigwa mnada na Serikali baada ya kukusanywa kwa miaka 14.
Mnada huo umefanyika leo Januari...
Wakuu habari,
Mimi ni mtumiaji sana wa mabasi haya yaendayo kwa haraka na nimevumilia sana kero zote za mabasi haya lakini tukio lililonikuta siku ya Alhamisi tarehe 25 January 2017 ni la...
***Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada
***Watakaovuruga mnada kukiona cha mtemakuni
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Usimamizi wa...