Naomba kumfahamu shehe anaetoa mawaidha ya tafsiri ya quruan katika redio imaan

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,917
23,236
Wakuu heri ziwe kwenu
Niseme tu mimi ni mkristo mkamilifu na asie na shaka nao.
Lakini huwa napenda kusikiliza kwa wengine wanayoyafundusha. Bahati nikamsikia shehe akiifafanua quruan kwa ufasaha japo siijui lakini vile anavyofundisha inavutia mtu kusikiliza na kuelewa.
Kipindi kinaitwa tafsiri ya quruan, kinarushwa saa 3 asubuhi na saa 4 usiku, redio imaan .

Ningependa kumjua tuu kwa anaemjua na si kwa lingine bali kuongeza tuu maarifa.

Kila la heri kwenu nyoote.
 
Kwani bila kumjua jina maarifa hayaongezeki?
 
Unajua kipindi kinarushwa lini na muda gani ila muendesha kipindi humfahamu? Kwenye hicho kipindi huwa unasikiliza nini sasa? Unataka kumjua ili kuongeza maarifa? Ukishalijua jina lake ndio maarifa yako yataongezeka? Hebu kuwa wazi unachohitaji ni nini hasa?
 
Basi nadhani ni mtu wa usawa huo huo, ni shemeji yake na yule Shehe Hamis Mataka wa Bakwata.
Na alikuwa na undugu na Sheikh Simba lia ndio kisa cha kuishi Shinyanga na kufundisha Shycom. Sheukh Simba alipopata u mufti akaja Dar naye akahamia Dar pia.
 
Back
Top Bottom