Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo January 13, 2018 imetoa tangazo kwa abiria wake kuwa inasitisha huduma ya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa heshima hivi ndivyo alivyopokelewa kagame
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Mtoa mada wa jana kasindwa kutupa update Askofu Kakobe kesho atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mh. Waziri wa Nishati tafadhali tupia macho TANESCO Wilaya ya Hai. Wanafanya kazi kwa mazoea na kila unapoenda kwa ajili ya huduma ni watu wa njoo kesho njoo kesho bila kujali wateja wanatoka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nina kifahamu kiingereza vizuri tu japo si sana ila nina matatizo kidogo kwenye hii lugha ,matatizo yenyewe ni haya: (1)Juzi kati nilibahatika kufanya interview katika kampuni flani hivi ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Wakati uongozi wa kata ya Nyehunge wilayani Sengerema umepitisha sheria ya kuwacharaza viboko 12 au faini ya Sh10,000 wanaume watakaokutwa wamesimama na wanafunzi wa kike, Wilaya ya Tandahimba...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
Kumbe hii shida ya kukatikakatika kwa umeme ni kutokana na chanzo muhimu kufungwa. Mtambo wa IPTL ndio kwa kiwango kikubwa ulikuwa unahimili shida ya umeme nchini. Tangu mkataba wake kuzimwa na...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Mizizi ya dhambi, au vilema vikuu au vichwa vya dhambi ni orodha ya maovu ambayo tangu zamani za mababu wa Kanisa katika maadili ya Ukristo yanahesabiwa kuelekeza binadamu kutenda dhambi nyingine...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Wakazi 40 watiwa mbaroni kwa mauaji Serengeti Zaidi ya wakazi 40 wa Kijiji cha Mikomariro wilayani Bunda wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkoa wa Mbeya ulio nyanda za juu kusini ukiwa umepakana na mkoa wa Rukwa,njombe, singida pamoja na nchi jirani kama vile Malawi na Zambia. Wakaaji wa jiji hili wengi wakiwa ni Wasafwa...
5 Reactions
0 Replies
9K Views
Mbunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Paschal Haonga amesema kuwa hana mpango na wala hayupo tayari kuhama chama hicho na endapo ikitokea akahama chama...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Nina mji pale Bomang'ombe Wilaya ya Hai sasa imekuwa mara ya 2 nimepewa bili ya maji nilipie mara 2 huku nikiwa nimeshalipia na imejumlishwa na bili ya mwezi ufuatao, kaja jamaa mwingine...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Bomoabomoa hiyo ilianza katika maeneo ya Kamanga Feli kuelea Mtaa wa Stesheni ya treni na kuyakumba majengo ya Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Posta...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na mtu akitoa sifa za warefu lakini pia akawa anatoa sifa za watu wafupi. Moja kati ya sifa nilizosikia ni kwamba watu wafupi ni wabishi, waongeaji na wasiokubali...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habar wandugu. Ni maneno Makali haya Shithole nation. Yale matamko yanamlenga hata Obama mpinzani wake mkuu
1 Reactions
3 Replies
690 Views
Jameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB. Hoja zangu ni...
82 Reactions
237 Replies
21K Views
*KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika katika hii shule ya St.Joseph primary school iliyopo wilaya ya Rombo,mkoa wa kIlimanjaro.Nimejaribu kuiangalia kutoka kwa google map inaonekana ipo karibu na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…