Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Sitosahau pale iPhone 11, Camera, la laptop aina ya Mac book pamoja na pesa taslim dollar 9000 nilizotumiwa na demu wa kiholanzi zilipokwama Jomo Kenyatta international airport baada ya kushindwa...
6 Reactions
19 Replies
471 Views
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake...
13 Reactions
45 Replies
1K Views
Tanzania tunaelekea kufanya jambo kubwa kupitia mradi wa reli ya kisasa ya SGR. Lakini baada ya kukamilisha SGR, nina pendekezo Serikali iandae project nyingine kubwa ya kimkakati ya kujenga...
3 Reactions
4 Replies
199 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na...
2 Reactions
21 Replies
413 Views
Vijana watatu walionekana wakiipiga Roboti ya AI ambayo unafanya kazi ya delivery ya chakula kutoka kwenye mgahawa mmoja wa kichina huko USA. Kwa Mujibu wao baada ya kuposti video hiyo wakitaja...
3 Reactions
35 Replies
441 Views
Anonymous
Morogoro Mjini, Kihonda kwa chambo kuna changamoto ya Barabara kutoka kwa chambo kuelekea Maduka kumi, hili ni Jimbo la Abood, tunapata changamoto kubwa wakati wa mvua.
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeomba jumla ya Shilingi za Kitanzania Trilioni 2.4 kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake kwa mwaka wa fedha 2026/27. Hii ni moja ya bajeti kubwa...
2 Reactions
2 Replies
340 Views
Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini...
14 Reactions
264 Replies
3K Views
Wakuu salam aleykum. Ndugu katika imani niseme ukweli tu, Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah, ila tu kiukweli sina amani na maisha ya mjini. Napachukia sana sana, sana, sana, natamani...
35 Reactions
412 Replies
5K Views
Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii...
1 Reactions
9 Replies
337 Views
Anonymous
Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Anonymous (c61a)
Kuna foleni sana kila siku ya malori hasa muda wa asubuhi Kigamboni na njia ya Posta. Serikali iweke utaratibu maana wakazi wa Kigamboni kusipokuwa na malori hamna foleni kukiwa na malori ni...
2 Reactions
3 Replies
197 Views
(Ameandika Malisa G. ) SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa...
59 Reactions
176 Replies
9K Views
Anonymous
Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…