Serikali imepanga kumlipa msichana mwenye umri kati ya miaka 10 - 22 Tsh. 25,000 kila mwezi ili kumpunguzia vishawishi vya ngono. Mradi huu utafanyika kwa majaribio katika wilaya zote za mkoa wa...
Mkoa wa kagera pamoja na kutoa wasomi wengi sana nchini hauna chuo chochote kikubwa cha serikali .secondary ya ihungo ambayo iliaribiwa na tetemeko mwaka 2016 imejengwa upya lakini ilivyojengwa...
Nawasilisha mada hii kwa kwel kwa uchungu mzito jaman tunafanya kaz katika mazingira magumu na boss hataki kutupa mikataba ya kazi watu wanafanya kaz inapita miez hadi minne boss hakupi mshahara...
Kichwa cha habari kinajieleza,
Ukifuatilia matukio mengi maovu ya kiubinadamu utagundua kuna tofauti kubwa ya utekelezwaji kati ya yale yaliyotendwa na mwanamke na yaliyotekelezwa na mwanaume...
Ni vema hili jambo likajadiliwa hadharani,
Hizi bei za viwanja vinavyopimwa na kuuzwa na serikali si bei halisia hivyo huwafanya watu wenye kipato cha kawaida kukimbilia kwenye maeneo yasiyopimwa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa Mbunge yeyote atakayebainika kucheza michezo ya bahati nasibu(Kamari) atapelekwa kwenye Kamati ya maadili ya Bunge
Spika aliyasema hayo wakati...
Hiki kitu kinanishangaza ni ushamba, ukurumbembe au nini?
Mtu akienda kupanda ndege au kupokelewa airport husindikizwa au kupokelewa kwa mbwembwe anaagwa na kupokelewa mabusu kibao na...
Lori la mizigo likiteketea kwa moto muda huu maeneo ya Buguruni jijini Dar es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo wanaeleza kuwa hakuna majeruhi, dereva pamoja na utingo wake wamenusurika.. kwa...
Kuna taarifa kwamba kuna ndege Ulaya ililazimika kutua kwa dharula wiki hii kwasababu abiria waliokuwamo kwenye ndege hiyo walishindwa kuhimili harufu mbaya iliyokuwa inatoka kwa mojawapo ya...
DAR: Mabasi ya Mwendokasi yatoa huduma bure kwa siku ya pili, chanzo cha hali hiyo inadaiwa kuwa ni mgomo wa wahudumu wa kitengo cha tiketi
> Inadaiwa kuwa wahudumu hao wamegoma kufanya kazi...
Takribani Wavuvi 109 wa Kitanzania wanashikilia nchini humo baada ya kukamatwa Juni 02, 2018 kwa kujihusisha na uvuvi haramu katika ukanda wa maji wa Kenya eneo la Shimoni
Naibu Kamishna Kaunti...
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.
Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana...
Hello JF,
Kwa nchi za wenzetu jina la Yesu yaani Jesus linatumika kuwaita watoto wao?
Ila hapa Afrika imekuwa ngumu sana kukutana na mtu anaitwa Yesu mtaani.
Je taswira ya jina hili kwa sisi...
IJUE GAR YA MR JAMES ILIYO LAANIWA DUNIANI
Katika dunia kuna mambo mengi sana ya kushangaa ambayo kwa namna moja au nyingine huweza kuamini kuwa mambo haya yalipangwa kwa namna moja ama nyingine...
Habari zenu wapendwa.
Nimekuwa nikipokea sms kupitia simu yangu kama ifuatavyo (mifano michache)
1. Tarehe 31.05.2018 kutoka namba 0621 149177 "Ile ela nitumie kwenye namba ya wakala 0754 687511...