instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,612
- 19,818
Mkoa wa kagera pamoja na kutoa wasomi wengi sana nchini hauna chuo chochote kikubwa cha serikali .secondary ya ihungo ambayo iliaribiwa na tetemeko mwaka 2016 imejengwa upya lakini ilivyojengwa bora ikabadirishwa matumizi ikawa chuo kikuu ambacho kitasaidia sana wakazi wa kagera kiuchumi na kusaidia kukuza mji wa bukoba ambao uliaribiwa na tetemeko na kuwa kama rambirambi kwa tetemeko kuliko high school ambayo haina manufaa kama chuo .ihungo yenyewe hii hapa