Maana zoezi la uandikishaji lilifanyika tangu May 2018, na bado hatujui lini tutapatiwa, imekuwa ni kikwazo kwangu maana sina kadi ya mpiga kura, passport wala leseni ya udereva na hiki cha Uraia...
Habari zenu wadau.
Mimi napata taabu sana kuelewa ni kwa nini kujiunga na mfuko wa bima ya afya NHIF ni kazi na kuna ugumu kiasi hiki au point ya kuweka hivi ni nini?
Ugumu ninai uona mimi ni...
Hii ni comment ya mtu akichangia kwenye mjadala unao husu wafanyakazi wa benki moja kutoa siri za mteja wao. Naiweka kama jinsi ilivyo .
" Mm mlioko bongo mna kazi. Sasa hao...
Ni watu wachache sana wanakuwa wa kwanza kwenye mambo mbali mbali mazuri
1. Wapo ambao tangu wazaliwe hadi Leo wameoa hawajawahi kutoa bikra..wengi tunakuta used
2.Wengi wetu humu jforum...
Mimi ni mtanzania wa kawaida tu ila si mteja wa hospitali za serikali kwasasa pindi ninapopata tatizo la kiafya.
Nimeongea na baadhi ya watu wanaopata huduma katika hospitali za serikali hasa...
Nimevutiwa sana na mwanadada Naomi Osaka mshindi wa US open 2018 kwa upande wa wanawake,japo pambano lile lilijawa na mushkeri za hapa na pale mwana dada huyo ameendelea kua mtu wa kawaidia hata...
Wakuu salaam..
.
Hivi inawezekanaje mtu kuota ndoto ndefu ndani ya muda mfupi sana?hii inanitokea sana,kwa mfano leo mida ya saa 5 asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari bbc,nikasinzia.Ile...
Unawezaje kuwafutia watu barua za vyeo zaidi ya mara 2 na kama umewafutia anza kuwalipa haki zao basi hakuna kila siku ni siasa tu
HATA LILE ZOEZI LA UHAKIKI DHUMUNI LAKE ILIKUA NI KUMINYA...
Wakuu Habari.
Leo naomba tuseme na serikali yetu juu ya tozo na viwango mbali mbali kwenye biashara, naona kama sio rafiki kwa biashara na kila anayefunga biashara ukimuuliza anasema kodi ndio...
Kuna malalamiko haya yasifumbiwe macho.
Wananchi wa kijiji cha kebweye wanadhulumiwa ardhi yao, na hili limefanyika tangu 1980 wakati kwa makusudi kabisa mkuu wa wilaya ya Tarime na hata mkuu wa...
Gazeti la mwananchi linaripoti kuwa hao vijana wamekamatwa kw kumiliki blogs,you tube kinyume na Matakwa ya TCRA.
Kwa lugha nyepesi wanamiliki mitandao bila kusajili maudhui.
=====
Dar es...
Kumbe Hizi kelele zetu tunazopiga kwenye Mitandao zinasikilizwa licha ya kuonyesha hawajali. Mfano mmoja mzuri ni Suala la hawa ndugu zetu wakenya ambao waliamua kuandamana kwenye Mitandao kudai...
Watu watatu wamefariki dunia kati ya 22 baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kugonga gogo na kupinduka kwenye Mto Rufiji katika Kijiji cha Nyaminywili, Kata ya Kipugila mkoani Pwani.
Habari jf, njia ya kuingia getini kwangu ina mchanga mwingi sana hali inayopelekea gari ndogo(iliyochini) kupita kwa shida. Naomba ushauri nitafanyaje ili njia iweze kupitika kiurahisi maana...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Nina siku sijapost chochote hapa lakini leo nimeamua nije nishee na nyinyi hapa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..
Nilikutana na mdada mmoja...
Assalaam Alaykum
Kwa siku ya leo,wapo miongoni mwetu,walio anza Ibada ya Funga,na wengine wata anza kesho in sha Allah
Kama tulivyosema hapo mwanzo(Japo uzi ulifutwa)
Funga hii ya Ashuraa,ina...
Wakulima mkoani Ruvuma wamesema hawaelewi zao la kulima lenye soko la ukakika hasa baada ya mazao ya Mahindi na Mbaazi kukosa soko.
Wamedai kuwa imefikia hatua wanalazimika kuuza magunia matatu...
Mahakama ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemuhukumu Ramadhani Shaban (24) mkazi wa mtaa wa Majengo B kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumpata na hatia ya kumbaka mtu mwenye ulemavu wa...
Nimeaoma Taarifa kuhusu kukamatwa kwa Mtangazaji Soudy Brown na Maua Samma na vyombo Vya dola kwa kosa la "KUHARIBU MALI" mara baada ya kuonekana kwenye Video Wakilusha Hela na kuzikanyaga:
Well...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida japo ni jambo ambalo linafichwa na sijui ni kwa maana gani au kwa faida ya nani ni kwamba katika muendelezo ule ule wa ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya...