Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwema humu? Naiomba sana serikali kwa kushirikiana na wadau mbali mbali weweke utaratibu wa kufundisha wananchi na hata viongozi wa taasisi mbali mbali, majumbani n.k juu ya matumizi sahihi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama ilivyo ada week inaenda ukingoni ila si vibaya tukakumbushana mambo ya msingi sana kwa sisi ambao tunatumia yale mambo yetu ya moja moto, moja baridi. Kwa wale wazoefu au ndio kwanza mmeingia...
25 Reactions
29 Replies
9K Views
Watanzania wametakiwa kushikamana kwa kufanya Kazi kwa bidii kwa lengo la kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ili Taifa liweze...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwa na vilio vingi kuhusiana na utendaji kazi wa polisi mkoa wa Kagera. Hii ikiwa ni kana kwamba sheria zao huku ni tofauti na Tanzania nyingine. Huku makwetu hata mwendo wa gari ukisemekana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu wa jf , Kama nikivyoeleza leo nitakua mwanza siku nzima kabisa tena free kabisa nitakua mitaa nazurura tu kuangalia mji wa mwanza Si mwenyej kabisa mji huu ila kutokana na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini. Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini. Marufuku hiyo nasikia imetolewa na...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Hallo everybody, I urgently need documentations for M-Pesa and Airtel Money integration APIs. I have searched for them through google but couldn't find the two. The only API documentation I...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Kipi ni bora kati ya akili kuwa mbele kwa sekunde dhidi ya kuongea au kuongea kwanza ndipo akili ifuate nyuma? Lakini waafrika asilimia kubwa wanaonekana ni wale watu wakuongea kwanza kisha akili...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Muda imefika wa Kuwa na Wizara ya Makazi ya Peke yake na Waziri ambaye akiamka na akilala yeye Kazi yake ni Kufikiri Namna ya Watanzania wanalala Kwenye nyumba Bora za gharama nafuu tena...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za majukumu wadau! Nimekuja hapa kutoa ombi kwa Trafick wanaoongoza magari hapa kwenye njia panda na mataa ya bank ya stanbic karibu na daraja la salender tafadhali tunaomba mtende haki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni na taarifa ikufikie ya kwamba lile Jengo refu lilipo Jijini Nairobi nchini Kenya la Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa KICC lilijengwa kwa mfano wa Uume /...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Wana JF, leo nimeona picha kwenye IPPMedia iliyoambatana na kichwa cha habari kuwa mainjinia wa JWTZ watasaidia katika ujenzi wa SGR. Lakini jambo lililonishangaza ni hiyo picha iliyowekwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu nimetumiwa msg hii na nssf NDUGU MTEJA HABARI ZA LEO, KUTOKANA NA MABADILIKO YA SHERIA YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA, KUWA NA MIFUKO MIWILI TUU YA JAMII, MADAI YOTE YALIYO FUNGULIWA KUANZIA...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada, mkoa wa Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo inajishughulisha na shughuli mbalimbali za viwanda, biashara na ufugaji. Shughuli zote hizi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana kamati za harusi,Dodoma mnatia aibu.Kwamba Ile siku ya harusi anayehudumia Chakula mnataka awaletee Chakula chenu Special wakati wa mchana,kwamba mnakagua Ukumbi kabla ya Sherehe.Mlivyo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii style ya utendaji kazi ya RPC Mroto na Mkuu wa Tabora, Aggrey Mwanri inanipa mashaka kwamba ni game ya kutuamisha kwenye mambo ya msingi!! Hii style ni kama comedy. Kwanini mpaka media...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
ASKARI WA JWTZ ADAIWA KUJIUA KWA KUJIRUSHA BAHARINI AKISAFIRI NA BOTI Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amefariki dunia baada ya kujirusha baharini akisafiri na boti ya Azam. Kifo...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani ma Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu...
14 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu kweli Mwanza tumeachwa mbali sana na dar kimaendele na ninazani tuko miaka 20 nyuma kimaendeleo kwa Dar eti leo hii Mwanza ndio ujenzi unaendelea wa kujenga ghorofa refu kuliko yote hapa...
2 Reactions
27 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…