Tunalichukulia kama niaina nyingine ya vitu vya kawaida katika jamii,ila tunapanda zao baya sana!
Tuombe mamlaka za juu zijitahidi sana kuachana na hili zao!
Ni zao tunalolipandikiza katika...
Ama kweli kazi ya Rabuka haina makosa. Humpa amtakaye na kumnyima amtakaye.
Nchi nzuri amezipa viongozi wabaya na baadhi ya nchi mbaya kazipa viongozi wazuri. Mfano ni mama Hillary Clinton. Watu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeondoa mashtaka ya mfanyabiashara Franklin Lauwo katika kesi inayowakabili viongozi wa klabu ya Simba, akiwamo mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu hiyo...
Awali ya yote Mods naomba msiunganishe huu uzi.
Nimepata kusikia jioni habari kuhusu habari za kifo cha Isack Gamba moja kati ya watangazaji waliokuwa wametunukiwa sauti maridadi katika sekta ya...
Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Nimatumaini yangu kwamba hamjambo na mnaendelea poa na mishemishe za kulijenga Taifa
Moja kwa moja kwenye mada;
Ndugu zangu hivi sasa Nchi yetu ipo kwenye...
Hakika nimeona mchango wa wapinzani kwenye masuala mbalimbali. Wao ni kama alarm ya kuwaamsha watu. Wanapiga kelele kama wale mbwa ambao hawang'ati ila wanatoa tahadhari kwa jambo lolote ovu...
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa...
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
MAMBO 10 KUHUSU PRESS YA IGP SIRRO.
1. Ukimtizama usoni kama una just elementary knowledge ya Psychology utagundua kuwa hakuwa anamaanisha anayoongea. Maneno ya kinywa chake na lugha ya mwili...
Habari wana jamvi. Hoja kuu inayotikisa kwa sasa ni picha za CCTV za gari lilitumika kufanya tukio la utekaji wa Mo Dewji.
Hoja inajikita katika aina na sifa ya picha ya gari hilo na mazingira...
Nyaraka muhimu za mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya zimepotea katika mazingira ya kutatanisha na kusababisha hofu ya kuwepo ubadhirifu wa fedha kwenye mradi huo...
Sakata la Dewji lisitusahaulishe kilio cha watu wengi kutaka RC wa Dar, anayependa kuheshimiwa saaana, Makonda Bashite Paulo anaondolewa!
Japo ahamishiwe basi na kurudi Lumumba kwa sababu ya...
Wahusika bila shaka mmenielewa.
Sasa ni muda muafaka wa kutoa kitabu kinachohusu thread mlizowahi post humu jf kwa kuunganisha mawazo mazuri ya members wa jf waliyowahi toa kuhusiana na uzi...
Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…...
Huku Bolivia, Mkuu wa sherrif, ameelezea baadhi ya ushahidi uliopatikana kuhusu kutekwa kwa Sauti ya Ng'ombe. Picha ya gari fulani la nchi jirani limeibua maswali mengi ya kutukuka kuliko majibu...
Naombeni kama kuna mtu mwenye mawasiliano ya DR MBWAMBO wa moshi anijulishe
Kama una namba yake ya simu naomba unitumie kwa inbox kuepuka usumbufu wa kuweka namba ya mtu hewani
Asanteni