Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa...
Kuna huyu samaki hatari anayepatikana Afrika. Kwa kiswahili anaitwa Mbenga. Kwa kiingereza Tiger Fish hasa anapatikana kwenye Mto Congo na matawi yake. Hadi ziwa Tanganyika anapatikana sababu ni...
Tangu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuanza kazi ya kuhudumia umma haijawahi kuwa na chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari), hay ani maajabu, taasisi kubwa tena ya rufaa na hadhi ya mkoa...
Naam katika maisha ya hapa na pale ya utafutaji enzi za ujana wangu nilipata kuwa na boss mwanamke wa makamu (mtalaka mwenye watoto watano).
PIcha linaanza siku ya kuitwa kazini nikapigwa stop na...
Katika maeneo mengi ya Bunju, kumekuwa na changamoto ya magari ya taka kutopita kuzoa taka kwa wakati, jambo linalosababisha taka kuzagaa mitaani bila mpangilio.
Kwa sasa, ni takribani mwezi...
Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana?
Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:-
Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha...
Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu...
Kila mwanaume ana matoleo mawili yanayoishi ndani yake.
Toleo moja linataka starehe, visingizio, uvivu, tamaa, na njia rahisi za kukimbia maisha.
Toleo jingine linataka nidhamu, nguvu, kusudi...
Nimepita kwa mara kadhaa eneo la Kawe, mkabala na nyumba mpya za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pembeni mwa barabara inayoelekea Maringo, karibu na msikiti, kuna uchafu uliorundikwa kwa muda...
Kwa siku sita sasa, wakazi wa Buza tunaendelea kuishi katika mazingira hatarishi baada ya taka kurundikana katika maeneo mbalimbali bila kuondolewa na mamlaka husika.
Gari la kukusanya taka...
Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango...
Nimefatilia cheti changu cha kuzaliwa na cha ndoa kwa muda wa mwezi na nusu sasa, leo nimeambiwa cheti cha ndoa kiko tayari nikifate nikaomba ruhusa kazini na nilipofika nikaambiwa kuna mtu...
Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo yaliyokuwa yakisuasua, Marekani na Iran kwa mara nyingine zinaonekana kukaribia kufikia makubaliano ambayo yanaweza kupunguza hali ya sintofahamu na ukosefu wa...
Museven adokeza kwanini usafishaji mafuta uwe Tanzania.
Ataja undani wa EACOP, kutumiwa na mataifa matatu.
Ni Uganda kama ilivyokuwa awali, sasa DRC, Sudan Kusini.
Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande...
Anaandika Michael Mbiti
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WETU.
Historia Inafutika Tanzania, Tunaweka Wapi Utu Wetu?
Ndugu Viongozi Tuliowapa Dhamana,
Leo ni Mei 21. Siku ambayo miaka ya nyuma...
Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha.
kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18...