Moshi ..Moja ya vivutio vya huku Kaskazini ni namna Wamisionari wa Kilutheri na Kikatoliki walivyogawana maeneo ya kuhubiri injili ya Kristo, na mipaka ya maeneo hayo bado inaheshimika hadi leo...
Source: TANZANIA DAIMA, JANUARY 03, 2010
Heri ya mwaka mpya ndugu msomaji. Naanza kwa kukumbusha maswali ya shuleni. Moja liliuliza kwamba dunia hutumia siku ngapi kulizunguka jua. Tulijibu ni...
JANUARY ni mwezi wa kwanza wa mwaka . asili ya jina hili au mwanzo wake ni MUNGU wa kiroma aliyekuwa anaitwa JANUS .
JANUS ni Mungu ambaye waroma , walimuabudu,( Roman empire kipindi hicho...
Nimesoma sehemu kuwa mwaka unaoanza kesho Vyama vya upinzani vitafanya mikutano yao ya hadhara bila kujali kuwa mikutano hii imepigwa marufuku na Serikali.
Napenda kuuliza, Je kupiga marufuku...
Habari wanaJF,
Viongozi 4 wa Chadema akiwemo Katibu Mkuu wa chama hicho Dk Vincent Mashinji, wamekamatwa na polisi wilayani Hai wadaiwa kufanya mkusanyiko usio halalI
Jamaa yangu wa karibu ameajiriwa Kampuni moja katikati ya Jiji ambayo salary yake inapitishia DTB Bank ni miezi kadhaa sasa toka ameajiriwa.Anasema hii si Bank rafiki kabisa kwa wafanya kazi...
NA HADI LEO HAKUNA HATA APOLOGY WALA EXPLAINATION,BUSINESS AS USUAL AS LONG AS VYOMBO VYA HABARI MME VISTARVE,MMEVITISHA,MMETISHA WAANDISHI WENYE WELEDI,MMEFUNGUA VIPEPERUSHI UCHWARA VYA KINA...
Dada mmoja alikuwa airport akisubiri connetion ya
ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time. Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri...
Ewe mungu baba mwenyezi mwingi wa Rehema, uliyeumba dunia watu na vyote vilivyomo.
Ukawapa wanadamu uwezo wa kufikiri na kutenda, na katikati yao ukaweka viongozi ili waweze kuwaongoza vyema watu...
Habari wakuu
Napenda nitoe hoja hii maeneo hayo hapo kuna barabara mpya kuna maeneo ya Malambamaziwa kuna vibao 12 vya speed 50 vimepangana unatembea zaidi ya KM 25 kwa speed 50 na hakuna sababu...
Mh. Lukuvi tunakuomba Uzifuatilie kampuni hizi za upimaji ili ziweze kuendana na kasi iliyo ya maendeleo iliyopo,kwamuda mrefu wakazi hasa wa Nzuguni A zoezi la uhakiki lilipita muda mrefu na...
Nina ndugu yangu ni mhanga wa ajali baada ya kupata ajali miguu yake haiwez kutembea Kama zamani na hawez fanya Kaz ngumu yeyote
Kutokana na Hali kua ngumu akaamua kujenga kibanda Cha mitimiti...
Salaam,
Nimefuatilia hotuba ya Ask. Kakobe aliyoitoa kwenye kikao cha viongozi wa dini ya Kikristo kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paulo Makonda, hivi karibuni. Ask Kakobe...
Nilitegemea ningepata tabu katika safari yangu,lakini nashukuru nilipata usafiri wa uhakika wa Basi la Dar Lux lililokuwa likiendeshwa na mwanamama the trip was comfortable,thanks God nimefika...
Habari wakuu wa Jf. Nimeleta uzi huu tukumbushane tu jambo hili muhimu.
Malengo ni dira inayo kuongoza mambo ya kufanya na vipaumbele vyako vinavyo stahili kugharimu muda wako, fedha na akili.
Ni...
Morning
Kuna thread nimeona humu ndani ya mtu anayejiita sijui ni mbunge akiongelea fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi za jamii.
Maelezo aliyotoa nmeona inabidi hawa viongozi wa kisiasa...
nenda ukapate kitambulisho cha ujasiliamali kama uko mbezi na msigani kwenye ofisi za kata
unatakiwa kwenda na
1. 20,000 tshngs
2.kitambulisho cha uraia au mpiga kura
3. kopi ya kitambulisho cha...
Habari wana JF
Mara zote ninaona watu wanaweka new year resolution zenye lengo la kujenga na si kubomoa. Nimefikiri kwani kuna shida gani kwa mfano mwaka mpya 2019 nikawa na malengo kama...