Mawazo gongeshi kuelekea mwaka mpya wa 2019

Mawazo gongeshi kuelekea mwaka mpya wa 2019

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
16,105
Reaction score
40,816
Habari wana JF

Mara zote ninaona watu wanaweka new year resolution zenye lengo la kujenga na si kubomoa. Nimefikiri kwani kuna shida gani kwa mfano mwaka mpya 2019 nikawa na malengo kama yafuatayo:

1. Ni bomoe nyumba niliyoijenga;
2. Niombe chuo nilichosoma wafute cheti changu cha taaluma;
3. Nihame mjini nikakae porini pamoja na wahadzabe;
4. nigawe viatu vyangu vyote nianze kutembea peku;
5. Niache dini yangu nirudi kwenye upagani;

nakadhali nakadhalika
 
Back
Top Bottom