Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mimi ni mkazi wa mtaa wa Oloresho, kata ya Olasiti, wilaya ya Arusha Mjini. Kwa kweli tunapitia hali ngumu sana kwa sasa kutokana na uharibifu wa barabara yetu. Hii hali imeanza tangu mkandarasi...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
Tuna maregend kibao wa mpira sisi tunakusanya watu wasiojua mpira eti wanaenda kuhamasisha. NDEGE yetu irudi na wachezaji tu.
5 Reactions
1 Replies
109 Views
Kufikia leo tarehe 2 Juni 2026, bei ya mafuta ghafi kwenye soko la dunia imeonyesha mabadiliko makubwa katika mwezi uliopita (Mei), ambapo bei imeshuka kwa takriban asilimia 15% hadi 20%...
2 Reactions
16 Replies
337 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la...
0 Reactions
5 Replies
233 Views
chess itakusaidia kujua namna ya kudifend,kuataki na time to quite the mission.
5 Reactions
12 Replies
181 Views
Mko poa Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia TANZANIA NA SENEGAL-U17 Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani...
5 Reactions
61 Replies
521 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Tumesharefresh sana website yenu ila hollah!
4 Reactions
17 Replies
167 Views
Tutaacha lini kuwa wanyonge? Umwagaji damu wa October 29, utekaji wa akina Polepole, na kupotea kwa hofu ya sheria: Tunaelekea wapi Ndugu zangu Wana JF Mioyo yetu inavuja damu, na hatuwezi...
3 Reactions
10 Replies
229 Views
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda ameshirikisha uzoefu wake wakati akiwa kazini. Amesema katika bunge aliloliongoza alipata kuwa na wabunge wenye akili...
23 Reactions
58 Replies
1K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Wakuu, nimechoka kuwapa shikamoo watu niliowazidi/nilio sawa nao kiumri kisa wanaonekana kama wazee wa miaka 80+. Juzi nilimpa shikamoo binti niliyesoma naye chuo (mwaka 2007) kwa sababu alikuwa...
29 Reactions
140 Replies
2K Views
Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni sehemu ya juhudi za kawaida za kidiplomasia zinazolenga kuimarisha uhusiano wa kimataifa na ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kati...
1 Reactions
6 Replies
139 Views
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu...
34 Reactions
877 Replies
59K Views
PHOEBE = fibi DEBORAH = debra YVETTE = ivet PAULA = pola CHARLOTTE = shalot
5 Reactions
11 Replies
161 Views
Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service! Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa...
3 Reactions
16 Replies
246 Views
Ipo dhana potofu ya kuchafua wanaume na kusema kuwa kuna wanaume wanaokuwa mashoga na ushoga ni wanaume wanaoruhusu kuingiliwa Ukweli ni kwamba hii sio sahihi na ni jambo ambalo nigumu kutokea au...
3 Reactions
14 Replies
203 Views
Unajua kwamba watu wengi wenye upeo wa chini wa ufahamu, husikiliza ili kujibu na hutazama ili kusimulia. Tofauti na watu wenye upeo wa juu ambao wao husikiliza ili kutafakari na hutazama ili...
0 Reactions
4 Replies
92 Views
Taarifa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu inasema kwamba Kada wa Chadema, Mkulima wa bamia, mfanyabiashara na Mtunzi mahiri wa vitabu vya ujasusi, Yerricko Nyerere ambaye ni mkazi wa...
22 Reactions
226 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…