Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kisa kimoja cha kuchekesha lakini cha aibu kubwa kimetokea baada ya familia moja iliyokuwa imejumuika pamoja kutazama michuano ya Kombe la Dunia kushuhudia jambo wasilotegemea kwa babu yao...
3 Reactions
8 Replies
270 Views
Kuna tabia moja huwa siielewi kabisa nikiona mshikaji anakuwa nayo namuona snitch. Mnakutana kunywa pombe na lengo kuu linakuwa ni kulewa mnakunywa mpaka usiku mkubwa, kila mtu anafanya vituko...
9 Reactions
38 Replies
486 Views
Happy Father’s Day kwa mababa wote. Leo ni siku ya kuwakumbuka na kuwaheshimu wanaume ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa nguzo kubwa kwenye familia zetu. Wengine wamekuwa wakali, wengine...
26 Reactions
109 Replies
914 Views
Anonymous
April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Leo unakutaka na mtoto wa samia au mwiguru,wasira,kikwete,sirro,mwiguru,mombo na wengine wengi wabagazaji. Ushauri wao kukupa matumaini wakikwambia maneno haya. 1.Achana na wazo la kuajiliwa...
2 Reactions
5 Replies
101 Views
Anonymous
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
1 Reactions
5 Replies
114 Views
Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni...
1 Reactions
53 Replies
434 Views
Habarini wanajf, Kuna rafiki yangu yeye kila ikikaribia shule kufunguliwa huwa anachanganyikiwa mpaka huruma. Nawauliza waTz huko kupeleka watoto wenu wapendwa shule zanye kutumia lugha ya...
11 Reactions
99 Replies
1K Views
Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu. Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo...
4 Reactions
6 Replies
83 Views
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena. Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara...
1 Reactions
6 Replies
279 Views
  • Redirect
Wanasayansi wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kuchora ramani ya neva za kisimi, hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuongeza uelewa wa kisayansi kuhusu afya ya wanawake. Utafiti huo uliofanywa na...
2 Reactions
– Replies
– Views
Nikiwa namalizia vacation yangu ndani ya Dasalamu, napenda kuwashukuru wahudumu wa pssf twin tower block A kwa mapokezi mazuri lakini fanyeni usafi vyumba vyenu. Haiwezekani kwa bei yenu hiyo...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Jiwe alikuwaga mchoyo na mbinafsi sana. Hakupenda walinzi wake wawe na furaha na exposure. Safari ya nje ya nchi ilikuwa tu Kenya, Rwanda, Burundi na Ethiopia. Jest imegine! Mama kusema kweli...
4 Reactions
6 Replies
253 Views
Mimi ni mlevi wa mchana kweupe na mida ya kazi . Leo ni jumatatu na tayari Niko nakunywa pombe mchana hadharani
2 Reactions
26 Replies
321 Views
Mbona Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Nigeria, Ghana, south Africa mabinti wanavaa hivi mtaani na ni kawaida? Lakini huku kwetu binti akivaa hivi mbele ya umma au maeneo ya wazi ni gumzo! Wengi...
17 Reactions
227 Replies
2K Views
Teknolojia ni kali.Saa yake na kofia .
4 Reactions
18 Replies
335 Views
KWA NINI FILAMU ZETU HAZIGUSI HISIA ZA WATAZAMAJI KIKAMILIFU? BONGO MOVIE NA CHANGAMOTO YA CULTURAL IMMERSION Anaandika Robert Heriel Mtibeli. Mwanasaikolojia Mtunzi. Leo Mtibeli nitaleta mjadala...
1 Reactions
12 Replies
294 Views
Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja "alumni", watu walioishi mtaa mmoja, Ukoo mmoja na kabila, Parokia au jumuia moja, kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi...
40 Reactions
112 Replies
1K Views
UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu...
33 Reactions
158 Replies
3K Views
Hii ni moja ya mbinu zinazotumiwa na matapeli mtandaoni. Mara nyingi hujitangaza kwenye mitandao ya kijamii wakionesha bidhaa, kisha huomba utume malipo kabla ya kukupatia bidhaa. Baada ya kupokea...
2 Reactions
8 Replies
245 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…