Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nafasi niliyoacha hapo juu ni kwa ajili ya salam Tanzania kuandamana kwa sasa ni hatari kwa sababu lazima upate madhara ,wazazi na walezi waase watoto wenu kila mmoja anaona kila kitu...
3 Reactions
30 Replies
360 Views
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk...
2 Reactions
5 Replies
201 Views
Hii vita ya U.S vs Iran imetuonyesha wazi madhaifu makubwa ya Jumuiya za kimataifa kama U.N na wengineo wanaofatia coz kwa miaka mingi Sana toka vita vya pili vya dunia kuisha mwaka 1945 na...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake...
6 Reactions
17 Replies
238 Views
Habari za muda huu wanajamvi, Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na...
2 Reactions
9 Replies
174 Views
Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie...
27 Reactions
47 Replies
778 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwajulisheni ya Kuwa Mwenezi Wa CCM Taifa hana Ratiba ya kufanya ziara ya kichama sehemu yoyote ile Nchini baada ya kutokewa kwa Katazo na zuio la mikutano yote...
0 Reactions
15 Replies
104 Views
Online Scam 1. Phishing unapata email Dear Customer account yako itafungwa ndani ya dakika 30. Wewe unaogopa, unaingiza password... dakika mbili baadaye akaunti si yako tena. 2. Fake Giveaway...
14 Reactions
17 Replies
246 Views
Na Mwandishi Wetu Zanzibar. Benki ya Exim Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaojulikana kama Exim...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Kuna sifa moja ambayo ukiikosa kwenye hii dunia ya sasa, utakuwa mtu wa kulia kila siku na maisha yatakupiga ngumi za chembe bila huruma. Sifa hiyo sio mtaji mkubwa wa pesa, sio kuwa na digrii...
3 Reactions
4 Replies
141 Views
Pale bungeni unasema mmekamata silaha na madumu ya mafuta wakijipanga kuchoma moto siku ya maandamano. Hizi kauli mnaongea mkiwa chumbani kwenu au mkiwa mpo bar. Sio mara ya kwanza kumsikia...
8 Reactions
33 Replies
689 Views
Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema...
2 Reactions
21 Replies
310 Views
Haya ni maneno kutoka kwa USTAZ JUMA MANUSOMA kutoka kwenye page yake ya mtandao wa kijamii Tik tok anasema "Huu msikiti unaitwa Masjid Shafii. Nimewahi kuwa imamu na sheikh katika msikiti huu...
9 Reactions
32 Replies
557 Views
Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu...
1 Reactions
7 Replies
166 Views
Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
14 Reactions
33 Replies
437 Views
Wananchi wa mitaa mbalimbali eneo la Kimara Stop over, Kata ya Kimara Wilaya ya Ubungo wameanza kupata huduma ya majisafi baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga...
-1 Reactions
2 Replies
101 Views
Kwanza hongera JamiiForums yetu na wadau pamoja na machawa wa CCM. Ila kuna kitu kimenifanya kujua jamiiforum ina wafikia na waliopo huko CCM na kuona wajipange vipi. Jambo ambalo...
2 Reactions
6 Replies
126 Views
Aliwahi kuulizwa " Kwanini huna mtoto Hadi sasa hivi?" Akajibu " Siwezi kuleta binadamu aje kuishi kwenye duniani hii yenye kutawaliwa na waovu na kila aina ya uovu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa...
16 Reactions
133 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…