Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kazi za kuajiliwa we acha wewe utajisikiaje pale boss wakoaliekuaji anapokufokea mbele za watu huku akikukejeli na matusi juu huwa unawaza nini? WE ACHA TU
1 Reactions
2 Replies
72 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
●Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo wakipokea maelezo...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka madereva hao kupata mafunzo ili kuepuka madhara kwao na kwa watu wengine. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa...
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake. Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha. Leo...
1 Reactions
7 Replies
125 Views
Habari wakubwa Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu. Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama...
4 Reactions
34 Replies
446 Views
Asubuhi ya Julai 4, 2026, mwili wa aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara John Heche, marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya...
3 Reactions
6 Replies
199 Views
TTCL wanapaswa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya watu wanaotumia laini za mtandao wao kufanya utapeli. Tatizo si hasara za kifedha pekee, bali pia kupungua kwa imani ya wateja. Leo watu wengi...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha...
2 Reactions
2 Replies
222 Views
Kangaroo jike ni mmoja wa wanyama wenye mifuko ya kipekee ya uzazi yenye njia tatu za uzazi (vagina tatu). Vagina mbili za nje hutumika kwa ajili ya kujamiiana na kusafirisha mbegu za kiume...
8 Reactions
27 Replies
505 Views
Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Haya mambo mwisho kusikia yalikuwa kwa NAZI ujerumani .Ila kwa nchi kama yetu unashindwa kutofautisha serikali na chama. Ukisikia matamshi ya raisi,waziri na chama chake ni wazi kuwa wanafanya...
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini. Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu Umekaa hapo unajiandaa...
7 Reactions
20 Replies
218 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani humo, Mariam Manyangu, aliyefariki dunia leo Jumamosi Machi 21, 2026...
8 Reactions
27 Replies
589 Views
Kodi za wananchi zimefanya kazi, sasa tuone mabadiliko ya kweli kwenye hili. ================ Tanzania imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kutumia Kombe la Dunia 2026 nchini Canada, katika jiji...
2 Reactions
11 Replies
238 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha anasikitika kutangaza kifo cha Ghaniya Jumbe, Mwandishi wa Habari, Idara ya Habari na Matukio, aliyefariki dunia...
2 Reactions
11 Replies
644 Views
Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA. Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida. kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea...
1 Reactions
0 Replies
75 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…