Aliyekuwa mtawala wa Qatar Emir Hamad bin Khalifa Al Thani, amefariki jana akiwa na miaka 74.
Mtawala huyo aliyeingia madarakani kwa kumpindua baba yake na kutawala hadi 2013 na kumuachia kijana...
Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia?
Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini...
Salaam.
Mchina alifika kwenye kijiji akatangaza kununua paka ili awasafirishe kwenda kuuza nje ya nchi.
Wanakijiji wakamletea paka na kumuuzia kwa Tsh1000, wengine wakapuuza kwa kuona elf moja ni...
Kwa mfano mtu anadaiwa Shs. 60/= , akiwa analipa hilo deni kwa wastani wa shs. 15/= kwa mwaka , tunategemea baada ya miaka mitatu deni libaki Shs.15/=.
Au kama anakopa tena kila mwaka sawa sawa...
Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
Tarehe 14 ya Mwezi Julai mwaka huu wa 2026, Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inatimiza miaka 50 tangu kuanza rasmi kufanya shughuli zake za kibiashara mwaka 1976. Wahenga wanasema kila kwenye...
Wakuu hii ishu inauma sana.
Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000
Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
Habari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo...
Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi...
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi...
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko...