Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Kahama, Geita, Katoro, Mwadui na sehemu nyinginezo kuna utajiri mkubwa sana wa madini, kwa miaka mingi sana wanufaika walikuwa wageni hasa nchi za nje lakini kwa sasa wasukuma wameanza kuamka na...
7 Reactions
27 Replies
565 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya Dkt Kusiluka ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi na huyu Prof Kusiluka Vice Chancellor UDOM. Sio kwa ubaya nataka tu kufahamu.
3 Reactions
2 Replies
147 Views
Huyo dotto magari na yule mshamba wenu wa singapore waambieni nawaita hapa katoro
1 Reactions
0 Replies
95 Views
Show ya miaka 30 na muendelezo 24 mamba kuhusu mashoga kuzibiti ni kama kila mtu anaangalia maisha yake na muda wake. Dudu baya endelea na msimamo wako maana umri wako si wadunia ni bonus za...
1 Reactions
2 Replies
78 Views
Marehemu banza stone alisema mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Sasa ukimfanya masikini kuwa na kila fursa na kila kitu kipo.We unazani pale bungeni wangeweza kuongea mambo ya magovi na...
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Moja Kati ya adui kubwa Sana na wa siri ambaye inazuia watu wengi kutokufanikiwa au kutimiza malengo Yao ni distraction ni hali ambayo mtu upoteza focus yake kwa mambo mbali mbali. Mfano unaweza...
5 Reactions
9 Replies
241 Views
Bou Nako, mmoja wa waanzilishi wa Nako 2 Nako, alikuwa moja ya walengwa wakuu katika beef hiyo kubwa. Kuna hadithi kwamba aliumizwa vibaya sana wakati wa shambulio lililohusishwa na upande wa...
1 Reactions
8 Replies
221 Views
One of my greatest pride as a Lawyer is representing Wanaharakati in Courts. Jesus was a Mwanaharakati [albeit wa ukombozi wetu], John the Baptist was a Mwanaharakati, Paul the Apostle was such...
9 Reactions
15 Replies
353 Views
Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae. Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama...
1 Reactions
1 Replies
61 Views
Shida ni elimu zetu ndio maana napata tabu sana elimu kuandika ila kwenye sayansi na teknolojia na siasa hapa unidanganyi. Kuna marehemu dada mmoja kipindi cha magufuri aliwahi kufanya research...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Wakuu Kichwa kinajieleza Wewe ukisikia neno mkosi unaposikia kijana fulani ana mikosi unaelewa nini? Nimekuwa nikisikia watu wakisema mtu fulani ana mkosi Je, unaposikia neno mkosi UNAELEWA...
2 Reactions
3 Replies
90 Views
Kizazi cha Gen-Z, hususan barani Afrika, kimekuwa gumzo kubwa katika mijadala ya kijamii na kisiasa. Vijana hawa wamezaliwa katika enzi ya teknolojia, mitandao ya kijamii, na mabadiliko ya haraka...
2 Reactions
1 Replies
85 Views
sikufundishi uwe mfuska, sikufundishi uwe kisirani Mwanamke anapenda kuhudumiwa na attention ila hadi at what cost and extent? Mwanaume anapenda kufanyiwa mautundu ya mapenzi na utiifu ila hadi...
2 Reactions
1 Replies
71 Views
Wakuu salamu, Pasipo kupoteza muda niende kwenye maada Moja kwa Moja. Kwa jinsi hali ya usalama na wanausamala wetu😂 ilivyo mikoa ya Dar, Arusha na Mbeya nikakumbuka mwaka 2010 pale...
4 Reactions
4 Replies
208 Views
Fiber yenyewe sehemu za mijini mjakizi sasa mnataka kushindana na google.
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated. Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa...
5 Reactions
22 Replies
270 Views
Wanzania tuache kuamini tu kile kinachosemwa. Nimekuwa nikiwasikia watu wakisema Singida Kuna kuku wengi, mara ooh! Jogoo wengi na wakubwa wa kienyeji wako kule etc. Huu ni uzushi kama uzushi...
7 Reactions
48 Replies
694 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…