Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa...
1 Reactions
3 Replies
135 Views
Turnstar Holdings, kampuni kubwa zaidi ya mali isiyohamishika iliyoorodheshwa nchini Botswana, imewasilisha madai ya kimahakama ya kupinga (counterclaim) katika mgogoro wa kisheria kuhusu Mlimani...
2 Reactions
2 Replies
289 Views
Katika kukabiliana na uhaba mkubwa wa maji safi na salama unaoikumba Kata ya Mkwajuni pamoja na kata nyingine za Saza na Mwambani wilayani Songwe, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Shirikisho la soka Duniani FIFA kwa kutumia Mfumo wa kidigitali 'Social Media Protection Service - (SMPS), ambao ulikuwa ukitumika kwa timu zote, makocha, wachezaji na maafisa wanaoshiriki...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Kuna siku nilileta thread humu kuomba ni namna gani naweza kupata msaada wa rufaa yangu ya bodi ikapita na mimi nikaongezewa chochote kitu maana to be honestly napata mkopo kidogo sana napata...
28 Reactions
622 Replies
36K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
"Msaada" dhidi ya "biashara" (ama mabadilishano). Mstari kati ya vitu hivi viwili mara nyingi umekuwa ukijipinda kwenye jamii, lakini ukiutazama kwa jicho la kimaadili na kisaikolojia, tofauti...
1 Reactions
5 Replies
105 Views
Umoja wa wanataaluma chuo kikuu cha Dodoma (UDOMASA) umetoa taarifa ya kukamatwa kwa mwanataaluma mwenzao kwasababu ya tuhuma za kuhamasisha maandamano tarehe 7/7/2026. Taarifa kutoka UDOMASA...
8 Reactions
10 Replies
461 Views
This 7 days Serengeti Migration private safari package is designed to maximize your chances of seeing the Great Wildebeest Migration, while also giving you the opportunity to encounter the Big...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Wakuu salama? Najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda? Taasis kubwa kama UDSM...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
Jinsi ya Kutambua Nishati Hasi Ndani Yako Je, umewahi kujihisi mchovu, mnyonge au kukosa amani bila sababu ya wazi? Wengi wetu hukutana na hali kama hizi mara kwa mara. Ukweli ni kwamba, mara...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanawake na wasichana wanaomaliza chuo miaka 25 mpaka 26, mkipata mtu kubalini ndoa na kuzaa. Watoto wakizaliwa mkiwa na umri mkubwa kunakuwa na hatari nyingi, si wote maana Mungu yupo ila umri wa...
3 Reactions
3 Replies
155 Views
Sio kila mtu unapaswa kuwa karibu naye kwa kiwango cha kihisia hata kama ni ndugu, jamaa au rafiki. Hili halimaanishi uwatenge au uwadharau. La hasha. Bali ni wito wa kuchagua hekima juu ya...
4 Reactions
1 Replies
365 Views
Wadau habari zenu, Hope mko poa ila mimi ninandika uzi huu nikiwa na maumivu makali na hasira, leo mida ya saa nne nilitoka nikampitia mrembo wangu maeneo ya mabibo external, uzuri nilimkuta road...
27 Reactions
99 Replies
12K Views
Mitetemo (vibrations) ni mawimbi ya nishati ambayo yanaathiri hali ya kiroho, kiakili, na kimwili ya mtu na mazingira yake. Kila kitu katika ulimwengu huu kina mitetemo yake, ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
501 Views
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea .tena yeye Tundu Lissu rafiki...
0 Reactions
4 Replies
168 Views
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
DAKIKA 45, ITV "CCM hatujachoka, tumechoka na nini?" Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."-...
0 Reactions
9 Replies
134 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…