Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita. Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani...
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Anonymous
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Habari wakuu, Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Anonymous
Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa...
6 Reactions
19 Replies
397 Views
Moja kwa moja ... Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati...
4 Reactions
12 Replies
195 Views
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe...
19 Reactions
73 Replies
899 Views
Anonymous
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe...
0 Reactions
22 Replies
427 Views
Anonymous
Kuna mama Arusha maeneo ya Philips, Mtaa wa Kimandolu na Mt. Meru Hotel (Sekei) inasemekana anachangamoto ya afya ya akili amekuwa akirusha mawe kwenye magari na kusababisha uharibifu mkubwa sana...
1 Reactions
3 Replies
146 Views
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi. Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele...
1 Reactions
3 Replies
70 Views
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Anonymous
Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira...
2 Reactions
14 Replies
229 Views
Kuna watoto wa Watanzania hasa wenye kipato duni ambao walitakiwa kuanza masomo ya chuo kikuu mwakajana 2025, lakini kwa kukosa mikopo ya Elimu ya juu mpaka sasa wapo mitaani tu hawajui wafanye...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5...
1 Reactions
0 Replies
101 Views
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya...
1 Reactions
5 Replies
381 Views
  • Poll Poll
Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya. Tangu hapo, mwenge huo umekuwa...
0 Reactions
4 Replies
275 Views
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala 1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali...
1 Reactions
8 Replies
97 Views
Anonymous
Habari, Mimi ni mhanga wa tukio la utekaji na mateso lililonitokea mwezi Agosti mwaka 2025, tarehe 25, baada ya kuitwa Dar es Salaam na mzazi mwenzangu ili kwenda kumchukua mtoto. Nilipofika...
14 Reactions
58 Replies
1K Views
Anonymous
Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga. Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya...
12 Reactions
187 Replies
3K Views
Anonymous
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
Back
Top Bottom