Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemteua Mhandisi Leonard Msenyele kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Mhe. Aweso amefanya uteuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Hutu twa hivi ndio mambo yangu . Haka unakakula zile style za kubembeleza mtoto. Tena vinakuaga na nyapu tamu Tena mgando balaaa.
2 Reactions
11 Replies
369 Views
KENYA KUWAFURUSHA MACHINGA NI ATHARI KWA NANI? Ufuatao ni Uchambuzi wa kauli ya Rais William Ruto, Jumuiya ya Afrika Mashariki na mustakabali wa biashara ndogo ndogo Nairobi NB:Kama wewe ni...
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za...
0 Reactions
4 Replies
110 Views
Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita...
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake, #THIS IS QUITE...
1 Reactions
8 Replies
147 Views
Anaitwa Nairobi fly, Anazalisha kemikali yenye sumu ambayo ikikutana na ngozi ya binadamu, basi ngozi inaungua na kuacha blisters. Hii kemikali inaitwa pederin. Unapomuua huyu mdudu wa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kosakosa zimekuwa nyingi sana. Huyu Israel Doumbia atolewe nafasi yake ichukuliwe na Jibril Kalala Mayele. Tunataka goli la mapema.
1 Reactions
0 Replies
38 Views
Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
1 Reactions
2 Replies
53 Views
Anonymous
Madereva wengi wa Mabasi ya Mwendokasi wanapaki magari vituoni wanayaandika "out of service" au "depot" wakati huo watu wameshakaa sana kituoni kusubiri usafiri. Hali hiyo imekuwa ikitokea hasa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kukaa bila kufanya chochote kwa dakika 90 kunaweza kuonekana kuwa jambo rahisi. Lakini kwa baadhi ya watu, hilo limegeuka kuwa changamoto inayohitaji nidhamu kubwa. Nchini Korea Kusini...
0 Reactions
3 Replies
88 Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma...
0 Reactions
6 Replies
152 Views
Kuna namna unajikuta kuwa mateso ya kifedha ndio mtaji wako, hata katika unafuu unajikuta kupitia stress za madhara ya "deep state economy", Muda na energy unayo invest haikulipi sambamba na...
3 Reactions
5 Replies
77 Views
Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi. Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?
2 Reactions
0 Replies
140 Views
Hapa ni Halmashauri ya Mji wa Nzega. Tumeshakwenda kama mara mbili hivi kwenye Ofisi ya Biashara, lakini hatukumkuta mtu. Tulikuwa na tatizo la Business Licence, tukaambiwa twende kwenye Ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
  • Redirect
Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili katika barabara ya Bagamoyo, eneo la Bunju Sokoni, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…