Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge...
2 Reactions
4 Replies
87 Views
Habari za humu jukwaani , niende moja kwa moja kwenye mada Matumizi ya AI (akili mnemba) kwa dunia ya sasa hayawezi kuepukika , na matumizi hayo yapo karibu kila sekta iwe ni...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji, Vodacom Business, Joseph Sayi, akizungumza na wafanyabiashara wa rejareja wa bidhaa za Tanzania Breweries PLC (TBL) wakati wa semina ya kuwajengea uwezo...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
kuna baadhi ya familia au sehemu, kama huna pesa huonekani kabisa kama mtu; uwepo wako hauna uzito na sauti yako haina maana. Pengine unaweza ukatoka safari ndefu ya mbali na yenye uchovu, lakini...
2 Reactions
8 Replies
138 Views
  • Redirect
Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyaguli Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi...
2 Reactions
– Replies
– Views
Mungu akiombwa uende Mbinguni[Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi], Alah "miungu" ampunguzie adhabu ya kaburi, hivi huwa anasikia na anafuata matakwa yenu?
3 Reactions
28 Replies
215 Views
Shirika la ndege la British Airways limetangaza kuongeza safari zake kwa kuanzisha njia mbili mpya kwenda Tanzania, Kilimanjaro na Zanzibar, kuanzia Mei 29, 2027. Safari hizo zitaendeshwa mara...
1 Reactions
0 Replies
78 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
16 Reactions
271 Replies
10K Views
Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya...
4 Reactions
5 Replies
160 Views
Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia! Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano...
3 Reactions
23 Replies
337 Views
Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima. Nashangaa sioni thread tena za wapigania...
4 Reactions
3 Replies
78 Views
Baada ya kufanyika kwa mafanikio makubwa jijini Dar es Salaam, sherehe za maadimisho ya miaka miwili ya programu maalumu ya Darling Hair maarufu kama ‘Loyalty Program’ sasa zinahamia mikoani ili...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli Hii taasisi siiamini Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme...
9 Reactions
55 Replies
970 Views
Kumekuwa na taarifa na mjadala kuhusu wananchi ambao vitambulisho vyao vya NIDA vimekwishaandaliwa lakini bado hawajavichukua. Hoja yangu ni moja: kama NIDA tayari inajua kitambulisho cha...
1 Reactions
6 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…