Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma...
Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani...
5 January 2026
Jimbo la Ole limeandika ukurasa mpya wa maendeleo kufuatia kuanza rasmi kwa utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Kwapeza, mradi muhimu unaounganisha Shehia ya Ole na Vikunguni...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa...
Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama...
Imeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa...
Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema:
"Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na...
Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni...
Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili...
Padre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre."
Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la...
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.
Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo...
Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu.
Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja...
Damas Ndumbaro:
Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali...
Moja kwa moja.
Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo...
Sasa hivi ukiomba safari ya ndege JNIA - KIA kwa ndege za ATC utakutana na ratiba ya ajabu.
Kuna ndege 3 tu: ya saa 11 asubuhi, ya saa 12:40 jioni na ya Saa 3 usiku.
Hakuna tena ndege ya za saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.