Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunakwama wapi kuweka tram toka kibaha hadi posta, toka posta hadi gongo la mboto, toka posta hadi bunju n.k?
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli. Ikiwa umegusa...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Nina rafiki yangu flani ivi ni mwanang kinoma, yaan ni wale marafiki since day one. Mwezi wa tano May, kuna jambo alinifanyia nilichukia sana na sikutegemea kutoka kwake kwasababu ni mwanang sana...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
1)Nigeria watu wa Nigeria ni wapambanaji saana 2)Warundi na RCA ( republic centre african) hawa watu hawajiamini kabisa Cameroon most of people's kutoka Cameroon ni watu wenye kiburi saana watu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari humu! Nimeambiwa miongozo ya kupata UTAJIRI wa giza ni hii ifuatayo 1.Si kila mganga ana uwezo wa kutoa utajiri 2. Kuna mitihani na masharti kabla ya kupewa utajiri. Kila mtu ana...
9 Reactions
69 Replies
9K Views
Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani...
0 Reactions
3 Replies
636 Views
Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
30 Reactions
76 Replies
6K Views
Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi! Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna...
0 Reactions
5 Replies
673 Views
Hakuna binadamu atakayeweza kusikiliza makelele ya mwalimu kwa zaidi ya masaa 8 .. Huku ni kuchosha akili za watoto na kuwafanya waone shule ni utumwa.. Kwasasa wanafunzi hawapati hata muda wa...
7 Reactions
20 Replies
982 Views
Eti, Unakula chakula mara ngapi kwa siku.
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakurungwa, Je, unafahamu kampuni ya Bima ya Afya (Health Insurance) yenye Package nzuri hapa Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Panya kangaroo (Kangaroo rats), ni jamii ndogo za panya wajulikanao kwa jina la kisayansi kama genus Dipodomys, jamii hii ni wakazi katika maeneo ya bara la America ya kaskazini. Jina lao...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Salamu kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wote tunafahamu na kuamini kutokana na mafundisho ya vitabu vya dini zetu kuwa binadamu baada ya kifo chake husubiri hukumu siku ya mwisho ambapo...
3 Reactions
80 Replies
16K Views
MAONO YANGU. Naamini kuwa, Mungu aliziumba mbingu na dunia na kila kiumbe kilichomo kwa hali yake na jinsi yake. Mie binadamu sijatokana na kiumbe kingine chochote kwa aina yake. Niliumbwa na...
3 Reactions
8 Replies
633 Views
TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli...
5 Reactions
17 Replies
871 Views
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako . Wasijue upo wapi Wasijue unafanya nini Wasijue Kazi yako Wasijue biashara zako wala kazi zako. Wasijue mipango yako Hii -ndo njia bora ya kuwa safe...
57 Reactions
41 Replies
3K Views
Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022. Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha. Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni...
5 Reactions
24 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…