Habari? Mimi ni mtumishi nataka nivute kimkopo changu na hii ni baada ya kupandishwa daraja, sasa nikiingia kwenye mfumo wa ESS nakuta kuna bank tofauti tofauti na asilimia zao.
Kila nikiangalia...
Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya).
Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu,na mbaya zaidi operator...
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.
Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri...
Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri...
Wadau,
Naomba kupata taarifa za ujenzi wa viwanja vipya vya michezo hapa Tanzania.
Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe hasa kile cha Arusha......kuna fursa ninaisubiria
Kwenye picha, ni...
https://www.youtube.com/watch?v=7xmj6NSToGE
Kutokana na kuwapo idadi kubwa ya madaktari vijiweni, Serikali imesema ipo katika mchakato wa ufumbuzi wa tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti...
Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine.
Ni kwamba wamekosa...
Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo...
Kwakweli nachukia sana matangazo ya kitapeli yanayoendelea kwenye mitandao na haswa mtandao wa Facebook. Wapo wanaojifanya ni waganga wa jadi. Masheikh wa visomo na hutengeneza video za matangazo...
Kufuatia uwepo wa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao hasa wanapakana na maeneo ambapo inapita Reli ya SGR kudai uwepo wa umbali katika Vivuko vya kuvukia baina ya kimoja na kingine...
Nimekuwa nikijiuliza Kuwa Viongozi wote walioteuliwa wana furaha kweli au Ndio huogopa hata kucheka.
Mbona kama wanaishi maisha ya hofu sana Jamani maana kama mkeka ukisoma Jina halipo hiyo nayo...
Kama utapata muda wa kupitia bandiko hili toa miwani yako ili usome kwa kutumia macho yako.
Nimeona kuna watu wameanza kutupwa mtoni potelea mbali kama mbwai iwe mbwai. Kibaya zaidi naona ugomvi...
29 July 2024
Mahakama ya Rufaa Tanzania
Dar es Salaam,
Tanzania
Kesi ya Onesmo Olengurumo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=M89ro2AWtds
Mahakama ya Rufaa...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
Habari zenu?
Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom.
Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii.
Mwisho...
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo
Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara...
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua huduma ya Popote Akaunti inayomuwezesha mteja kufungua akaunti na kupata huduma za kibenki kidijiti pamoja na kufanya malipo mbalimbali ikiwemo kulipia...
The traffic has progressively worsened in DSM over the past year, with indiscriminate construction work, and zero regard for the public. Construction takes forever to finish, imagine a significant...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri...