Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Matendo Na. 4 ya 1998 7A : 19 ya 2007 131A.- (1) Pale ambapo kosa la ubakaji limetendwa na mtu mmoja au zaidi katika kundi la watu, kila mtu katika kikundi ambaye anatenda au kuunga mkono kutenda...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Habari watanzania wote. Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo. Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kanda ya Mashariki na Pwani wametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wote ambao...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
Greetings wanajukwaa. Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9 4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee Na hii hapa...
6 Reactions
11 Replies
571 Views
Je, Wajua unyonyeshaji ukifanyika ipasavyo, uwezekano wa Mtoto kupata Magonjwa hatari ya kuambukizwa au kuugua mara kwa mara hupungua na hivyo kupunguza Vifo vya Watoto? Hata hivyo, tafiti...
2 Reactions
8 Replies
977 Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasan ametakiwa kuwamulika majaji wa mahakama kuu ambao baadhi yao wamekuwa na tabia ya kupindisha haki baada ya kurubuniwa kwa kupokea rushwa. Hatua hiyo umekuja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imempokonya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Philemon Mollel(Monaban) ,eneo lenye ukubwa wa ekari Saba alilowekeza kituo Cha mafuta lililopo Ngulelo ,jijini...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Mfanyabiashara maarufu jiji la Arusha Philemon Mollel (Monaban)anashikikiwa na polisi kutokana na ugomvi wa kugombea eneo lililoamuriwa na mahakama. Monaban alilazimika kufyatua Risasi hewani...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Ukitaja kufanikiwa kibiashara jitofautishe na wenzako kwa kufanya tofauti lakini bora Mabasi ya Sauli yalijitifautisha kwa kutopoteza muda kizembe barabarani ....TIME MANAGEMENT !!! Solomon...
10 Reactions
7 Replies
1K Views
Unatembea zako ghafla unaitwa, Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu Mnaendelea...
26 Reactions
109 Replies
5K Views
My Take: Naunga mkono hoja na jambo Hilo lisiishie kwenye kada ya Afya na Elimu tuu Bali lifike na kwenye kada zingine. Faida zake 1. Utapunguza uhaba wa Watumishi 2. Utapata Watumishi ambao...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dar es Salaam Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amezungumza na Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari Nchini...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Ikiwa leo ni siku ya August 7, 2024, kuna jambo kubwa la kitaifa linaendelea huku Dodoma, nalo ni Maonesho ya Nane-Nane. Pamoja na wingi wa watu lakini katika hali ya kusikitisha kuna changamoto...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado? Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na nje ya nchi ikiwa fresh kabisa. Inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwa kiwanda kimoja, kuanzia...
3 Reactions
4 Replies
577 Views
Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro, wameitaka serikali kufanya uchunguzi na kutoa tamko rasmi juu ya uwepo wa Taasisi moja inayoendesha harakati za kuwachafua kwa mawakala wa Utalii Ulaya...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Anonymous
Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa...
0 Reactions
9 Replies
869 Views
Aisee huyu Kiranga na utata wake wote na ungosha wake wote na kuishi kwake America na kusoma kwake kote na ubishi wake wote ivi kweli kashindwa kabisa kutuzibitishia kama kweli Mungu hayupo Mimi...
9 Reactions
387 Replies
30K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni kujiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo hivyo kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya...
0 Reactions
1 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…