Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh...
19 Reactions
166 Replies
2K Views
Wadau, Jana nimekutana na infographic moja iliyoandaliwa na The Chanzo inayoshtua na kutia moyo kwa wakati mmoja. Nimeikagua kwa makini, na hapa ndio ukweli mchungu mtamu kuhusu kodi yetu...
1 Reactions
3 Replies
569 Views
Anonymous
Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali...
1 Reactions
2 Replies
172 Views
SINGIDA Mkoa wa Singida umeanza rasmi kutoa hati Milki za Ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi ambapo sasa wananchi hawatalazimika kufika ofisi za ardhi katika mkoa huo kufuatilia maombi yao ya umiliki...
0 Reactions
4 Replies
99 Views
KUNA HAJA YA KUJUA KASORO YAKO KWANZA KABLA YA KUORODHESHA ZA WENGINE ILI UJUE SHIDA NI WEWE AU WAO? WATU WENGI HATUWAONI KAMA WALIVYO BALI TUNAONA KAMA TULIVYO SISI ✍️ KILA MTU UNAMUONA MWENYE...
0 Reactions
1 Replies
42 Views
Salaam, Miaka kadhaa iliyopita hapo mjini Dar niliwha kufanya kaz na kampuni fulani hiv. Ile kaz ilkuwa kioja, kila kikao Masimango, vitisho vya kukaribia kufukuzwa kazi kila baada ya masaa 48...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo...
24 Reactions
75 Replies
919 Views
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka...
0 Reactions
3 Replies
155 Views
✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa. Licha...
5 Reactions
18 Replies
428 Views
Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi...
1 Reactions
8 Replies
256 Views
Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali. Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali...
2 Reactions
8 Replies
149 Views
Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea...
2 Reactions
46 Replies
541 Views
Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma...
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Wakuu habarini.... Bila kuwapotezea muda kwa salamu.... Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo...
4 Reactions
34 Replies
720 Views
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo...
2 Reactions
15 Replies
237 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji...
3 Reactions
7 Replies
326 Views
Hope channel Thanks...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada ya kustaafu utumishi wa Umma...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung...
4 Reactions
7 Replies
159 Views
Heshima unayoilinda haina maana kama hauna chochote... AHSANTE
5 Reactions
30 Replies
175 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…