MWANAMKE INITIATIVE FOUNDATION (MIF) KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, ZANZIBAR
KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, KIZIMKAZI IMEITIKA, AGOSTI 18-25, 2024
Taasisi ya Mwanamke Initiatives...
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA
ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za...
Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata.
Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri...
Niseme tu kilichopo kuna mradi wa barabara unafanyika huku sisi vijana wa hapa ndio tuliwapokea wachina wakatuajiri kama vibarua, tunalipwa 5000 kwa masaa 10 tumejenga kempu imeisha.
Sasa...
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema...
YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA
Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na...
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake
Mwabukusi...
Leo nimesoma taarifa kuwa waziri wa Kilimo Dr. Tizeba anapinga waziwazi taarifa ya polisi juu ya ajali iliyoua wafanyakazi watano wa wizara yake, na kuwataka Polisi wakajiridhishe upya badala ya...
Mtanisamehe kwa nitachosimulia hapa lengo vijana mjifunze. Kuna jamaa yangu alikuwa mpambanaji sana na ni mtu wa malengo ya kufikia utajiri na lengo lake alitaka utajiri wa kishirikina. Kahangaika...
Wakuu,
Tusaidiane kidogo ,Leo wakati nimekusanya vihela vyangu nikasema nipite shoppers ya MASAKI, ninunue vitu kidogo kwaajili ya mahitaji ya nyumbani.
Basi nimeshafanya machaguzi ya vitu...
Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa.
Ripoti hiyo...
Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na...
Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia.
Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo...
Kwanza niweke wazi mimi bado sijaoa. Nipo kwenye early 30s na sina mpango wa kuoa kwa sasa. Na hata ikitokea naoa sitaki mchango wa mtu.
Kuna jambo limenikuta. Yani nina classmates na washkaji...
Ukisikia kimeumana basi ndiyo huku .
Mmasaai kuvaa lubega na kuchukua sime na rungu ndiyo utamaduni wao.
Leo hii umkataze Masaai kubeba rungu na sime basi inabidi utumie busara kubwa sana ya...
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.
Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na...