Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua...
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.
Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.
Nimeshangaa...
WADAU, hivi ni kweli tezi dume halina tiba?
Tatizo limekuwa kubwa lkn wengi wa wanaume kama ilivyokawaida, mambo huwa kimya kimya hali mtu anaugulia
Shida ni kile kipimo cha 🖕
Hello my people,kama tujuavyo kila mwanadamu ana hasira by nature hasa pale anapokwazwa na mtu au jambo fulani ambalo halimpendezi.
Binafsi nikiwa na hasira huwa naenda kulala nasinzia nikija...
Wanawake na maviribagumbo yenu mnakuwa kama magunia ya viazi 🤣🤣
Vinara wa viribatumbo(Kitambo uzembe) ni Dar,Mbeya,Unguja.
--
Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika...
Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi.
1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa...
Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri...
Habari wakuu
Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini.
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mwl. Husein Bakari amewaagiza Watendaji wa Kata na Mitaa wa jiji hilo kutimiza wajibu wao wa kuendelea kuhakiki taarifa za...
Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?
Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection...
Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi...
Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha..
Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa...
Wizara yenu ni sensitive sana , jana mmepost za kipindupindu mkafuta hope walikuwa wanamaanisha Mpox
Ndani ya week mmefuta posts zaidi ya 10 ,kabla hamjaweka kitu mjiridhishe kwanza
Moja ya...
Mtu akikuzidi maarifa au mafanikio fanya nae kazi usitake kushindana nae,moja ya kosa ambalo watu wengi wanafanya ni kuwachukia watu ambao wapo juu kuliko wao jambo ambalo linapelekea kuendelea...
Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua.
Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima...
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la...
Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani.
Hii hali...
tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa...