Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa. Tazama hapa: KERO -...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Moja kwa moja kwenye mada taja hapo juu, kumekuwepo na malalamiko kadhaa katika baadhi ya ndoa ama mahusiano. Malalamiko hayo ni baadhi ya wanaume kupewa watoto wasio wao, inatokea mwanaume...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali...
3 Reactions
17 Replies
955 Views
https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya...
3 Reactions
6 Replies
569 Views
Get some education from the Nature... Did you know? Birds most especially crows🦅 when they get sick, They attack Ants 🐜 house and dig them out. Then the crow opens its wings and stands up...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa...
1 Reactions
0 Replies
305 Views
Wale waliomba ajira za afya kupitia utumishi, angalia profile yako kuona kama umeitwa kwenye usaili. Nakutakia kila la kheri.
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameagiza kufuatiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kwa watendaji wote walioshiriki kukwamisha...
0 Reactions
4 Replies
644 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba Kwa takribani Miezi miwili nchini sasa kumekuwepo na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakigusa hisia na...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Nisiwachoshe sana. Twende kwenye hoja Nimekuwa nafuatilia kwa uchanya sana shughuli za wanaharakati hususan wanasheria wa kujitolea wanaosimamia haki kwa gharama kubwa ya kujitolea. Nimeangalia...
2 Reactions
1 Replies
270 Views
Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie...
1 Reactions
0 Replies
746 Views
Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Wamenunua blue tick kwa fujo, mana ndio kigezo cha kwanza ili ulipwe. Lakini ukweli ni kuwa hawana content yoyote na pengine hawajui maana ya content, wanachokifanya sasa ni ku share video za...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimefikiria sana kuhusu muarobaini wa NHIF, nimeangalia mradi wa mabasi Udart nimeangalia bandari nimepata conclusion sisi tuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria. Ukianza kufuatilia vitu...
2 Reactions
3 Replies
417 Views
Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika...
3 Reactions
16 Replies
797 Views
Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Anonymous
Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa. Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe...
0 Reactions
4 Replies
493 Views
WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
3 Reactions
18 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…