Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za mchana wakuu, Wilaya ya ROMBO mkoani KILIMANJARO ni wilaya pekee nchini ambayo kata zote, vijiji vyote na vitongoji vyote vina umeme Haya ni maendeleo makubwa sana. Hongereni ROMBO...
22 Reactions
338 Replies
30K Views
Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana...
1 Reactions
6 Replies
506 Views
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
52 Reactions
63 Replies
8K Views
Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
1 Reactions
5 Replies
531 Views
Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida. Awali Mkandarasi...
2 Reactions
10 Replies
601 Views
MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na...
3 Reactions
6 Replies
679 Views
Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani. Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo...
0 Reactions
8 Replies
571 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
US inaongoza ikifuatiwa na China. Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
2 Reactions
20 Replies
910 Views
Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo...
2 Reactions
9 Replies
461 Views
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
2 Reactions
1 Replies
532 Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
11 Reactions
102 Replies
9K Views
Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea...
3 Reactions
1 Replies
471 Views
Wakuu na Imani ni wazima wa Afya swali langu hivi Mtu ambaye Hana Dini akiteuliwa huwa anaapa kwa namna gani ? Kwa Mfano pale Mahakamani anaitwa kutoa ushahidi anaapa vipi
1 Reactions
1 Replies
433 Views
Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini. Tarehe: 2Sept2024 Kwa: Bw. Macrice Daniel Mbodo Postamasta Mkuu, Shirika la...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao. More...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale wanaoijua Vizuri Kurasini, Wanazifahamu kota za Bandari, hizi zilikuwa ni nyumba za serikali walizopewa Wafanyakazi wa Bandari ili waishi humo, karibu na Bandari ya Dar es Salaam ili...
28 Reactions
73 Replies
5K Views
Kuna hii tabia ya mitandao ya simu kushikilia pesa za wateja pindi miamala inapofeli huwa inakera sana Ijumaa iliyopita nilifanya muamala toka akaunti yangu ya Tigopesa lakini cha ajabu pesa...
1 Reactions
0 Replies
365 Views
Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni...
10 Reactions
17 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…