Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake...
Injili lazima iendeleeeee....
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na...
Wiki hii makamu wa Rais na waziri wa mambo ya ndani wakiwa katika shughuli tofauti za kidini wakiwa jukwaani walizungumza mambo ambayo kwa hakika ni kuingilia uhuru wa imani za watu wengine...
Habari,
Nipo Mbeya,
Natafuta route nzuri ya kwenda bukoba. Usafiri ni magari ya Abiria.
Wakati nakuja nlichukua route ya bukoba to dodoma to iringa to mbeya, ila n ndefu kinoma nlifika niko...
Wakuu.
Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu,
Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita,
Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua...
Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini.
Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini.
Mungu sio dini, Dini sio Mungu.
Dini hizi ambazo viongozi wenu...
INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"
Twende kwenya mada ....
BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa...
Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake...
HI great thinkers
Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake...
Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa...
Hivi ulishawahi kuondokewa?
Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu? Either kifo au kutengana what you feel?
Hali yako (personal) katika uchumi, mawazo, jamii ilikuwa...
Swala la kufungwa kwa barabara na kusimama kwa shughuli za usafirishaji kwa masaa kadhaa wakati wa msafara wa Mwenge wa Uhuru limezua mjadala nchini Tanzania. Wakati Mwenge wa Uhuru una umuhimu wa...
Kuna kijana anasimulia eti baba yake aliikataa mimba yake.
Ameulizwa alijuaje, eti alisimuliwa na mama yake.
Kama kuna upumbavu sitaupokea, ni eti umesimuliwa na mama yako kuhusu ubaya wa baba...
Habari zenu wakuu,
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai.
“ Tuendelee kuwakumbuka na...
Imeelezwa kuwa kati ya mwaka 2023 hadi 2024, Watu Milioni 1.9 wameongezeka katika idadi ya Watu wanaokabiliwa na Hali Mbaya ya Upatikanaji wa Chakula duniani kutoka Watu 705,000 walioongezeka...
Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor