Rubani mdogo Tanzania: Ameajiriwa Canada, hakupita Kidato cha Tano na Sita

Anasema form five na six isinge mjenga kama kwenda chuo

View attachment 3088559
nikisikiliza watu wengi waliotimiza mambo fulani mwisho nagundua kitu kikubwa ni right information na sasa kuna fursa ya kupata hizo information kirahisi sema tuko bsy na mtandao. yeye alitafuta information akagundua si lazima aende five and six, wakati kuna watu wana ndoto za kuwa marubani wanaenda five na six hawapasi vizuri wanafail na ndoto zinaishia hapo.
tutafute information sahihi. Huku kwetu raha ya wasomaji na wasomeshaji ni kujisifu kuwa course fulani ni ngumu yani darasa la watu 30 walifaulu watatu tu pcb
 
Pilot ni kazi kama dereva ,kuna vitu kadhaa tu vya kusoma ...Mtu wa form four anaweza kusoma bila ya tatizo ila aliyesoma mpaka advance mambo ya science inakuwa rahisi maana concept nyingi anazo kichwani .
 
Bora umeongea mkuu

Hizo concept nyingi kichwani ndio kumjenga kwenyewe mimi napingana sana na watu wanaotaka kufanya kama advance ni kupoteza muda
 
Tanzania elimu tuna complicate sana. Hata ukisema upilot ni kama dereva wa gari, sawa lakini sehemu yoyote wanaheshimiwa kuliko hao madereva wa gari.
Narudia tena, having the right information ni kitu kikubwa maana kuna watu ndoto zinapotea kwa kupita njia ndefu wakaishia njiani kutokana na ugumu wa njia hiyo.
 
Bora umeongea mkuu

Hizo concept nyingi kichwani ndio kumjenga kwenyewe mimi napingana sana na watu wanaotaka kufanya kama advance ni kupoteza muda
The end justifies the means. Tanzania inatengeneza wasomi wenye concepts nyingi kichwani lakini hazina application au hawazitumii kuleta matokeo yoyote chanja wameziweka tu kama theory kwenye vichwa.
 
Back
Top Bottom