Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali inatukamia mikodi mikubwa mikubwa kiasi cha kufunga biashara zetu hasa hizi ndogo ndogo. Hakuna sehemu ya kukwepea kabisa. Kanisani nako tunakamuliwa haswa kwa micaho iliyopakwa rangi...
4 Reactions
13 Replies
481 Views
Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu...
1 Reactions
6 Replies
433 Views
KOKNI MUSLIM JAMAAT of DAR ES SALAAM, TANZANIA DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wa JF, Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno. Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu...
4 Reactions
85 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini...
1 Reactions
0 Replies
274 Views
Naomba kuuliza wakuu Kesho nilipanga niende NIDA kufuatilia kitambulisho changu, je wanafunguaga siku za sikukuu? Maana kesho ni siku kuu
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma...
2 Reactions
4 Replies
713 Views
Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza...
15 Reactions
33 Replies
1K Views
wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
6 Reactions
148 Replies
7K Views
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mpululi, Dodoma anagawa anawapora ardhi Wananchi wanyonge kisha anawapa vitisho Mtaani kwetu tuna Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ambaye amekuwa akiwaliza watu...
2 Reactions
2 Replies
556 Views
Hii ndoto itakuwa na maana gani? Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu Jf huwa nakutana sana na thread za kiimani za kina bwana Mshana Jr , Bujibuji Simba Nyamaume na huyu Rakims Katika kusoma thread zao nikawa kama naanza kuzielewa thread za...
40 Reactions
146 Replies
10K Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
528 Views
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa. Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni", katika hali ya kushangaza katika soko la Vingunguti lililopo jijini Dar es salaam ambapo huchinjwa zaidi ya ng'ombe 500 kwa kila siku, ni kwamba kati ya...
20 Reactions
57 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa...
3 Reactions
3 Replies
502 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…