Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

mj909

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
88
Reaction score
212
Naomba kuuliza wakuu Kesho nilipanga niende NIDA kufuatilia kitambulisho changu, je wanafunguaga siku za sikukuu?
Maana kesho ni siku kuu
 
ingia google andika NIN Search jaza taarifa kwa usahihi utapata namba
 
𝙐𝙣𝙖 𝙪𝙢𝙧𝙞 𝙜𝙖𝙣𝙞?? 𝙆𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙣𝙞 𝙢𝙖𝙥𝙪𝙢𝙯𝙞𝙠𝙤 𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙢𝙖𝙨𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙩𝙤𝙩𝙤
 
Back
Top Bottom