Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania umaskini umepungua sana. Ukichekesha watu kupitia comedy tayari wewe ni star na siku kadhaa mbele tunakuona airport na begi lako unaenda mkoa. Ukiuuza mazao kijijini lazima uende MKoa...
2 Reactions
3 Replies
275 Views
Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Natumai wazima. Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na...
6 Reactions
9 Replies
631 Views
Habari! Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani...
7 Reactions
94 Replies
3K Views
DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member Mbwichichi ambae amesimulia hii story ndani ya story 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇...
33 Reactions
98 Replies
25K Views
Kazi ya kutafuta miili ya watu watano wanaohofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuzama ndani ya Ziwa Victoria imesitishwa kwa muda, kutokana na hali mbaya ndani ya ziwa, hivyo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Itakupa shida kutibu maumivu ya miguu kwa kunywa dawa za malaria. Ni ngumu mno kumshinda adui usiyemjua. Huenda ukawa unajiuliza maswali:- Nani anayevuruga mipango yako - Nani anayevuruga ndoa...
2 Reactions
0 Replies
350 Views
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.
3 Reactions
19 Replies
998 Views
Hivi wakuu zile Safari za TRC kwenda Moshi bado zipo? Haki hii serikali ni Hangaya ni failure kabisa yaani kila mradi umekufa Cha kusikitisha hatusikiii Tena treni ya kati ikifanya kazi au...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika...
16 Reactions
248 Replies
12K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nguvu za mwili zitaanza kukuishia, Utasikia kama usingizi mzito unakuja, Mapigo ya moyo yatapungua kasi, Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia. Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto...
23 Reactions
108 Replies
7K Views
Wakuu, Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity. Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Silalamiki wala! After all, I am a man of culture 😉. Calling all other men of culture to congregate and appreciate nature’s magnificent creation. Kumbe katika jina la utamaduni ni sawa kuonyesha...
23 Reactions
170 Replies
7K Views
Habari wana jukwaa! Naombeni ushauri ninunue ipi Kati ya scooter ya umeme na scooter ya mafuta, nimeuliza zote zina range kwenye 1.5 millions.
3 Reactions
29 Replies
2K Views
1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…