NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa...
Kwa tunaofuatilia matangazo ya redio hii jana jioni walitangaza habari kuwa Freeman Mbowe kasitisha maandamo hayo yaliyopangwa kufanyika Septemba 23.
Hii ilitufanya wengi tufatilie kwa ukaribu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani...
Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi.
Mpe neno la faraja
Soma Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Katika hali isiyo ya kawaida, kijana mmoja kwa jina la Mussa shebe mkazi wa kijiji cha Nachiungo kilichopo mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa, anatafutwa na polisi kwa kosa la mauaji.
Kwa mujibu wa...
Kuna shule zimeanzisha mitindo ya ajabu hivi karibuni. Unakuta mzazi analipa graduation 100 000 then wanasubirisha watoto mpaka saa tisa na nusu ama kumi ndio wanakula ili wabaki wachache
Wakijua...
💼MHADHARA WA TISA (9)
Siku hizi wazazi wengi wapo busy kufuatilia tamthilia, kufikiria marejesho ya Vicoba, na kuperuzi MEMES huko facebook, Tik Tok, na Instagram kupitia smartphone zao. Hawana...
WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI
-RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko
-Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na...
Habarini waungwana....
Vijana na marafiki zangu wananiambia weekend twende kutazama mechi ya simba, nimewaambia siendi.
Siwezi kwenda kupoteza pesa zangu kwa ajili hiyo, nimewaambia ni heri...
Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi.
Habari JamiiForums
Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia...
Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri...
Leo Tarehe 20-09-2024
NDUGU Godbless Lema
Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania
Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi...
💼MHADHARA WA KUMI (10)
Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi...
Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi.
Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa...
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya...
Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama.
Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa...
Habarini wakuu? Bila kupoteza muda ningependa tujuzane je kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa nchi iitwayo giningi, Kwa wale waliobahatika kusoma kitabu kinachoitwa KIVULI KINAISHI cha mwandishi...
Leo nathibitisha rasmi kupingana na madakitali;
Mwili wa binadam haunenepi wala kupungua kwa mazoezi na chakula(Diet) bali kwa kiwango cha furaha alicho nacho binadam (stress and happiness)...