Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU.
Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka...
Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji.
Akizungumza katika uzinduzi wa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na...
TRA wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kupambana na watu ili walipekodi/wasikwepe kodi
Hata hivyo changamoto kubwa ni watu kukosa Elimu ya kodi tangia huku chini.
Muarobaini wa Kukwepa kodi...
Kifaa maalum cha kujiua kinachoitwa "Sarco Pod" kimepata umaarufu katika miaka ya karibuni. Kifaa hiki kiliundwa na Philip Nitschke, mwanzilishi wa Exit International, na kimeundwa kusaidia watu...
Habari wakuu,
Napenda kufahamu yoyote mwenye uzoefu wa namna sahihi ya kupunguza gharama wakati kujaza kifusi wakati wa ujenzi wa nyumba baada ya kumaliza msingi.
Hii ni baada ya kuona jirani...
Wanafunzi wa shule za kutwa jijini Dar es salaam wanakumbana na changamoto kubwa sana ya usafiri, hii inapunguza morali ya watoto kupenda shule, pia ni moja ya sababu ya matokeo mabaya kitaaluma...
Aisee hamna kitu kinachoninyima usingizi kama watu mtaani kuanza kuniamkia na kuanza kuniita mbaba sasa najiuliza kwanini waniita mbaba na kuanza kuniamkia ila nahisi miahafikia umri wa utu uzima...
Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi.
Lakini...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu: Patrick Boisafi akiwa ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wametembelea mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima ubora wa...
Habari za mapambano wana Jf?
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni muhitimu wa chuo kikuuu x na nipo nasubili ajira. Na saivi najishughurisha na bodaboda pia nalima. Kuna ndoto inanijia mara kwa mara...
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake...
Licha ya Nyota wa Hip Hop na Mfanyabiashara kutoka Marekani, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent kutoachia Albam mpya kwa takriban miaka 8, bado anaingiza Pesa nyingi kupitia muziki wake.
Akizunguza na...
Habari ya uzima,
Katika MAISHA kitu muhimu huwa ni mipango au mpango. Katika philosophy huwa tunasema kuwa "life go to the same direction you gotta go with it"
Maana yake maisha huwa ni yale...
Habari wadau!
Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio...
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.
Huu wizi mtapoteza wateja...
10.M16 ( shirika la kijasusi la uingereza)
9.kampuni ya Apple
8.ICBC ( benki ya kiselikali ya china)
7.CIA
6.Serikali ya india
5.Umoja wa ulaya
4.Serikali ya Russia
3.Serikali ya china
2. Serikali...