SIRI NZITO TARIME VS WAWEKEZAJI....

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Wananchi wanahitaji kuelimishwa sana swala la wawekezaji
 
Hii sera ya viwanda n ngumu sanaa

Mh Rasi anamalengo mema kabisa lakini wale aliowateua watafanya aishie kushindwa kufanikiwa malengo yake ktk ujenzi wa viwanda nchini

...sty tuned
mkuu siku hizi mbona unaandika taarifa nusunusu
 
Aiseeeeee
Niko Tarime hapa naonyeshwa eneo la kulima miwa safi kabisa wanaotaka kuendelea kulima Bangi shauri yao
BANGI ACHA KABISAA... HILO N ZAO LA WANATARIME ACHAKABISA
 
Aiseee,
Yaani, huu uzi ni majanga.
Kichwa na kiwiliiwili naona vimetenganishwa ; basi tu hakuna namna.
 
Wananchi wanahitaji kuelimishwa sana swala la wawekezaji

Tatizo siyo elimu ni serikali kusitisha na kusimamia wawekezaji kutowanyanyasa , na kuua watanzania wenzetu hapo Tarime.

Hata kama ukiwapa elimu zaidi ya PhD kuhusu uwekezaji bila kuondoa uonevu, unyanyasaji na mauji yanayofanywa na hao wawekezaji Kwa kupitia baadhi ya viongozi /vyombo vya serikali kama polisi kamwe haiwezekani hiyo elimu kusaidia wanatarime na hata Tanzania kwa ujumla.

Pole aisee, usitarajie elimu tarajia matamko na mauaji ya wanatarime wasio na hatia.

Serikali ijitathimini katika hili jambo la uwekezaji !
 
M mashauri Bangi ihalalishwe tuanze kukusanya
hela tarime
 
Back
Top Bottom