"kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?"
Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo...
https://www.youtube.com/live/Dx_r5P6246s
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe...
Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga...
Sijui jinsi mtakavyojitetea kwa hili Kwangu au hata kwa wengine waliokuwa na mtazamo kama Wangu ila kwa jinsi nilivyoona jana katika Kurasa mbalimbali za Watu wa Yanga kwa mtazamo wangu kwa Jicho...
mshahara ni utumwa, yani unakuta mtu kila mwezi ana uhakika wa milioni 2, haya ni malipo ya kitumwa
kazini jumatatu hadi ijumaa asubuhi saa mbili hadi saa 11 jioni, jumamosi kazini saa tatu hadi...
Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
UDHIBITISHO HUU HAPA:
- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.
- Shetani alisababisha binadamu kuanguka...
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole.
Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi...
Hii haina haja ya kusalimiana,
Jana nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta mkate wangu wa kila siku kama ilivyo Ada kwa watu tuliombiwa tutakula kwa jasho. Niliibahatika kuingia kwenye jengo...
Bei ya dhahabu duniani imefikia katika kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Jarida la Uchumi limefanya uchambuzi wa rekodi hiyo na athari zinazotarajiwa. Usiache kufuatilia habari hii, ndani ya...
Habari wanajamvi, natumai mmeamka salama salmini.
Kama mada inavyosema, utani hua ni mameno ya hapa na pale,
mara nyingine ni ya ukweli ila yanawasilishwa kwanjia ya utani.
Ila utani mara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini...
📖Mhadhara wa 19:
Pole na hongera kwa kazi dereva wa Bodaboda. Kuzunguka salama na chombo cha moto kila siku ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Naomba leo nikuume sikio mambo ambayo yanapendwa...
Habari Wana JF
Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai
Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au...
Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students...
Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi...