Kwanini Wanajeshi wengi wakipewa Mkopo hukimbilia kununua tu Magari na si kujiendeleza Kimaisha?

Wanakula bure, wa nalala bure, wanasafiri bure, sasa huo muda wa kuwaza maisha yalivyo tyt wautoe wapi?
Mimi na wewe wa "uswazi kajambanani" ndio tuna adabu na jasho letu. Hapo ulipo ukite una buku tu la nauli kukufikisha kesho sehemu ya kugangia njaa.
Vocha ni mwendo wa mabando tu.
 

Hakuna baya linalojadiliwa hapa na tambua kuwa wapo wengine wana Ndugu zao au Wapenda wao humo ila hili tatizo limeonekana mno na ndiyo maana tunataka kujadili kwani na wao licha ya kuwa ni Wanajeshi ila pia ni Wananchi kama sisi ila kuna baadhi yao ndiyo wanatushangaza kwa kulifanya hilo nililoliweka hapo juu na mwishoni wa Utumishi wao tunawaona jinsi wanavyoumbuka na kutaabika humu mitaani kiasi hadi wengine wanadiriki kwenda kubeba Virungu na kuwa Walinzi KK na kwingineko.
 
FB_IMG_14930568363422627.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_14930568363422627.jpg
    FB_IMG_14930568363422627.jpg
    21.9 KB · Views: 52
Huwa wananifurahisha sana watu wanaomwambia mtu wewe umepata hela badala ya kufanyia mambo ya maana umenunua gari, au umenunua furniture aghali, au sijui ungefanya hiki. Come on kitu unachoona wewe cha maana kwangu sio cha maana hivyo kama unaona kuna mambo ya maana sana ya kufanya basi na we kopa zako ukafanye sio hela yangu nifanye mambo unayoona wewe ya maana.
 
Back
Top Bottom