Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme
.acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena.
Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na...
Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Wanasema "hata akienda juu Kapungu hafikii kwa Mungu" ndiyo. Sisi wazee wa zamani tumekutana na mengi hadi kufika umri huu...kutekwa kisiasa,kiuchumi na kimapenzi pia. Lakini tumeweza ku survive...
UISLAM NA UKRISTO SIÔ MAADILI YA MTANZANIA NA MUAFRIKA NI MOJA YA NYENZO YA MMOMONYOKO WA MAADILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kîla jamii inamaadili yake. Maadili yanatokana na ûtamaduni...
Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania, iliyokutana tarehe 2 Oktoba 2024 imeamua Riba ya Benki Kuu (CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 kwa robo mwaka...
Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful
Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo...
Waandishi waliotoa story kuhusu Mwananchi mmoja mkazi wa Ikungi aliyedaiwa kuuawa na Askari wa Jeshi la Akiba katika Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji wamepigiwa simu na OCD leo kuwa waripoti kituoni...
1. Listen more, talk less
Most people love to hear themselves speak. Stay quiet, absorb everything - they’ll reveal more than they think.
2. Ask smart questions
The right question can reveal more...
Habari wapendwa!
Kuna mabasi yanayotoka Dar Es Salaam kwenda Mombasa - Kenya? Je kama Yapo nauli ni sh. Ngapi? na Kwa Dar nayapata wapi? Nielekezeni utaratibu.
Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.
Ladies and gentlemen...
Hii nimeisikia asubuhi ya leo redioni lakini mniwie radhi kutokana na majukumu nilichelewa kuirusha. Kwa ufupi maofisa wawili waandamizi wa safari za anga wamesema msafiri halazimishwi kujua lugha...
10 safest countries to live in if World War III happens
The global landscape is teetering on the brink of World War III, marked by the widespread spectre of terrorism enveloping more than half of...
ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO
Na Happiness Shayo-Morogoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya...
Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya...
Iko hivi
Dar familia zinakula chakula kibahiri sana ili watoshe. Kutokana na hiyo hali ya kujinyima msosi wenyeji wamejikuta wamezoea.
Lakini hali ni tofauti kabisa kwa sisi wa kutoka mikoani...
“Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto.
Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya...