Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea...
2 Reactions
4 Replies
747 Views
Unadhifu wa kimavazi, kiakili na kimaneno (lugha) unauhusiano mkubwa sana na kupendelewa au kupewa kipaumbele kwenye jamii. Watoto waliovaa vizuri na wasafi hata kwenye bus au hospitalini kila...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa miaka miwili nimegundua ni bora tungejenga barbara nyingi za pembezoni, juzi flyovers ni prestige tu hazisolve tatizo la foleni
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 7 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi. Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu...
2 Reactions
5 Replies
635 Views
Miaka ya 60 alikuwepo mtangazaji maarufu jina lake Kwege Munthali, mtangazaji huyu alijipatia sifa sana kutokana na umahili anapokuwa studio kama ambavyo wenzake nao walijipatia sifa za aina hiyo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA. Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo. Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu...
2 Reactions
7 Replies
679 Views
TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Habari, Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu...
10 Reactions
495 Replies
17K Views
Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule. Kila siku mnawadanganya...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
"Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding." Albert Einstein Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana? Bila ya...
12 Reactions
33 Replies
904 Views
"Sitapenda tena. Mara ya mwisho nilipopenda, ilikaribia kugharimu kazi yangu na nadhani ndoa inaweza kufanya vibaya." Chris Brown "Ninaelewa ndoa ni nini lakini sitaki kuoa kwa sababu ni ukatili...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwili wa Dr. Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) Jumatano ya...
12 Reactions
122 Replies
12K Views
Kukitokea misiba hasa ya viongozi au watu maarufu huwa naona kuna kitabu cja wageni . Lakini kwenye misiba ya kawaiada huwezi kukuta kitu kama hicho zaidi ya kitabu cha michango ambayo ndio...
7 Reactions
75 Replies
13K Views
Anonymous
Kuna shida ya kuangalia online namba ya NIDA hawaleti namba inasababisha changamoto. Tafadhali IT wa NIDA rekebisheni hili
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani. Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya...
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Kwa ambaye amefanikiwa kuomba hizi leseni TCRA na kufanikiwa kupata ama anayefahamu taratibu za kuzipata naomba muongozo hapa ama mawasiliano yake anielekeze kitu, nitamfidia muda wake. Asante
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…