Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa...
3 Reactions
9 Replies
936 Views
Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge...
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni. Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani. Yule paka...
3 Reactions
16 Replies
951 Views
Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa...
57 Reactions
169 Replies
7K Views
Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago...
37 Reactions
42 Replies
2K Views
Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka...
16 Reactions
119 Replies
5K Views
Tangia mwaka jana mmekuwa mkituma meseji zikinialika kutembelea duka la Vodashop lililo jirani nami ili nijipatie simu janja. Baada ya mwaka mzima wa meseji hizo kuwa kero, niliamua leo kutembelea...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na...
0 Reactions
3 Replies
503 Views
Hivi haiwezekani serikali kuwapangia hawa wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi kutokana na ubora wa nyumba zao?
1 Reactions
8 Replies
378 Views
Moja kwa moja. Nilichelewa basi la kuelekea Mwanza la alfajili ya jana, ile nafika pale shekilango naambiwa 'boss mbona umechelewa, basi limeondoka?' mmoja wa staff akaniambia labda uondoke na la...
68 Reactions
139 Replies
8K Views
Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Mwanza imeendesha Klinik ya Ardhi katika halmashauri ya Ilemela mtaa kwa mtaa ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka na kuwapatia huduma za ardhi wanazohitaji...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Hahaha Ukitaka kujua jinsi gani akili ya kijana wa kiume ni chafu ebu fungua uzi wa "ipi ni sexual fantasy yako?" Ukitaka kujua hatua mwanamke anaweza kufika kwa ajili tu ya urembo wake ebu...
1 Reactions
10 Replies
751 Views
Anonymous
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote. Sijui Maafisa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa NSSF Kutokana na maendeleo ya technologia, wastaafu wanaweza kurahisishiwa kabisa taratibu za kupokea mafao yao badala ya kuwacheleweshea kwa kisingizio cha taratibu zilizopitwa...
1 Reactions
1 Replies
415 Views
MKe wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema Zanzibar inaendelea kuchukua juhudi...
1 Reactions
2 Replies
346 Views
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA RUAHA, WAZIRI PINDI AZINDUA UTALII WA PUTO ■Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt...
1 Reactions
5 Replies
547 Views
MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu. Mfumo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAMBUA KWAMBA KUZALIWA NA KUFA ni udanganyifu tu SIO Kitu halisi. Jibu nikwamba hujawahi kuzaliwa Wala hujawahi KUFA ila unabadilika KUTOKA Hali moja Hadi nyingine inawezekana kuna malengo mengi...
2 Reactions
13 Replies
818 Views
Back
Top Bottom