TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu...
Mgonjwa yeyote huwa anaamini sehemu salama kwake ni hospitalini,
Baada ya Mungu ni wazazi ba wanafuata madaktari,bila wao wengi tusingekuwepo duniani.
Hospitali ya Mikochen Mission Hospital...
Kampuni ya Akm Glitters tunaomba mtulipe haki zetu wafanyakazi wenu.
Yapata miezi mi 5 na wengine miezi 8 hatuja lipwa mishahara yetu. Tume jaribu mara kwa mara kuomba huongozi taarifa juu ya...
Ni ushauri tuu Kwa Shirika la Nyumba la Taifa kwamba kabla ya kuanza Ujenzi wa nyumba 1,000 za Makazi na Biashara Jijini Dodoma mungeenda Nchi ndogo ya Benin mkajigunze matumizi sahihi ya Mipango...
Kwa mujibu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) uagizaji wa chakula kutoka nje ya Kiafrika umezidi kuongezeka kuanzia mwaka 2023 kwa takriban mara tatu kutoka kutumia Dola Bilioni 35 (Tsh...
Ndugu wanajamii,
Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo...
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime...
Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye...
Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati.
Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua...
SIKU TUKIWEKA PEMBENI UJINGA WA KULINDANA
Tukalimana kwa mujibu wa ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, na tukaazimia kutenda haki bila kuwaonea mafukara, tukausaka usawa — siku hiyo...
Hiki ni mojawapo ya kifo cha furaha nilichowahi kushuhudia ...! Mzee Mwaisapile almaarufu kama Babu wa Loliondo ametwaliwa kutoka maisha haya.. Mwendo ameumaliza salama ... Kwa amani na kwa...
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini(ccm),Priscus Tarimo amelaani tukio la kada wa chama hicho ,Idrisa Moses Makishe(38),kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindika.
Makishe kada wa ccm ambaye...
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA
1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.
2...
Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi.
Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya...
Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano.
Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo...
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau...
Gazeti lenu la leo tar 10/10/2024 ukurasa wa 18 kuna makala inasema "Kiasi cha mwinuko kinachofaa kwa basement kwenye ujenzi".
Sasa nikawa natafuta kiasi hicho cha mwinuko wa kitaalamu ambao...
Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani.
Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo...