Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha...
2 Reactions
10 Replies
587 Views
Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa...
3 Reactions
14 Replies
995 Views
Tukio lilianzia baada ya: Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye...
22 Reactions
311 Replies
19K Views
Huna haja ya Kuteseka: Ni mtazamo tu! Watu wako bize kusaka nguvu za ki.....maji ya.... Nimtazamo tu, tulia! Mtazamo (attitude) ulionao ndio unaokufanya uishi hivyo ulivyo. Hapo ulipo upo mahali...
3 Reactions
6 Replies
590 Views
Kama imetokea kutazama moja kati ya video nyingi za utupu ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni siku za hivi karibuni, hususan zile zinazohusisha chupa za soda, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
14 Oktoba 2024 Dodoma, Tanzania NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya...
0 Reactions
3 Replies
313 Views
On 12 October 2024, Arusha region in Tanzania set a world record for the longest parade of Landrover brand vehicles which travelled 12 Kilometers across the feet of Mt Meru from King'ori to...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Msemo huu upo hapa kukutia moyo katika maisha yako na jitahidi kuukumbuka mara kwa mara unapokuwa katika nyakati ngumu za maisha (when it gets dark the stars come out) Msemo mwengine ambao...
4 Reactions
1 Replies
470 Views
I liked this story, i thought its the best to share with you. Try to read it. I woke up, took a shower and drove to the university. Another semester had started and I had to attend to the first...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
🤦‍♂️Ni kisa cha Binti aitwaye Alua kilichotokea Zanzibar.   🔴Onyo msiwe mnatumiana au kupiga na kurekodi picha zenu za utupu, mnapofanya hilo jambo huwa ni furaha lakini mwisho wake ni majuto na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja. Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na...
3 Reactions
10 Replies
738 Views
CWT mkoa wa Mwanz kwa kushirikiana na maofisa kutoka waizara ya Utumishi wa Umma iliaandaa kliniki ya utatuzi wa changamoto za walimu jana 13, October 2024. Badala ya kutatua changamoyo...
3 Reactions
9 Replies
667 Views
"UINUKE NA UIANGAZE DUNIA" _ Salamu zikufikie ww mpambanaji usiechoka kutafuta Leo sina mengi sana ila naomba wataalam mniekeze jambo hapa MEDITATION _ Natamani kujua inafanyaje kazi na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Suala la Alua linafanana kidogo na lile la *Hafia (23), mwanafunzi aliyekatisha masomo yake ya ualimu mwaka 2023. Sababu kubwa ya kukatisha masomo ni aibu na msongo wa mawazo uliomkumba baada ya...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Tumeshuhudia kundi kubwa la wastaafu kuishi maisha magumu baada ya kustaafu hii husababishwa na mambo kadhaa miongoni mwa mambo yafuatayo Kutojiandaa kustaafu Wafanyajazi wengi huwa hawajiandai...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Dini ya Uislamu ina madhehebu kadhaa makuu, ikiwa ni pamoja na Sunni, Shia, na madhehebu mengine madogo. Kila dhehebu lina imani na mafundisho yake maalum ambayo wafuasi wake wanaamini kuwa ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa...
2 Reactions
4 Replies
501 Views
Kipindi yuko benchi alikuwa busy na kilimo kule Iringa Baada ya Rais Samia kumrudisha kwenye ulaji kwa kulamba cheo ambacho mimi binafsi sikifahamu, Ally Hapi ametelekeza shamba lake na vibarua...
36 Reactions
112 Replies
5K Views
Urgently luku msaada ina unit 40 lakini umeme hauwaki check picha chini inavyodisplay
0 Reactions
20 Replies
22K Views
Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Back
Top Bottom